kuna wadau walipitiliza kwenye harusi ya chabi na viki juzi kule giraffe hotel

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. Dah!! Hii aibu ndio Ubaya wa mipombe ya bure unafakamia tu bila kipimo hayo ndio matokea yake shenzi hawa!!

    ReplyDelete
  2. Michuzi,
    Una miss-use matumizi ya nene 'Wadau'..
    U need to apologise to us, tunaotembelea blog yako.
    I think personally I'm better of than the drunken people (possibly gate crashers) at a wedding party.

    Zingatia matumizi ya Lugha zako michuzi.
    clarify your statement 'Wadau" ktk caption ya hiyo picha

    ReplyDelete
  3. Bia za bure bongo zina matatizo..haya ona sasa matokeo yake mmezima magari. Mnafakamia tu vya buree bila kuangilia.

    ReplyDelete
  4. Sir Issa...MZEE WA MATUKIO..HAWA WANDUGU INAELEKEA WALITOA MCHANGO MKUBWA...:)))))

    ReplyDelete
  5. Kumbe kuna watu wabaya! Mnamsema Da'Chemi kwa vile anakunywa Konyagi. Cheki hao walevi walivyo hoi baada ya kunywa mabia! Hao ndo walevi wa kweli.

    ReplyDelete
  6. Balaa kubwa sana!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 01, 2007

    gate crashers?

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 01, 2007

    Watu wa uzwari pombe za kienyeji maaara leo safari?Watakunywa mpaka waogee,itamchukua muda kichizi mpaka nafasi kama hii itokee tena.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 01, 2007

    ?Du ? huyo demu naye?? ndo wale wanaolaliaga watoto wao usiku gambe zikiwazidi (gambe au monde ni ulabu)Noma sana!! nafikiri kwa staili hiyo Ukimwi nje, nje mana hujijui unastukia ulivaa kondomu dole gumba la mguu. Mwe!
    Mdau -Africa Mpya.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 01, 2007

    ?Du ? huyo demu naye?? ndo wale wanaolaliaga watoto wao usiku gambe zikiwazidi (gambe au monde ni ulabu)Noma sana!! nafikiri kwa staili hiyo Ukimwi nje, nje mana hujijui unastukia ulivaa kondomu dole gumba la mguu. Mwe!
    Mdau -Africa Mpya.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 01, 2007

    Wedding Crashers!?

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 01, 2007

    Kwani unakunywa Pombe uweje... Ndo output ya Pombe hiyo.. Waache waendelee kukamua

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 01, 2007

    kamueni wakubwa ndo jamaa kaoa... Tena kojoeni kabisa hapo

    ReplyDelete
  14. Unajua sometimes sisi waswahili hatuna ustaraabu kabisa tunapoalikwa kwenye sherehe hata kama utakuwa umetoa mchango kisiwe kigezo cha wewe kunywa hadi kulewa kiasi hicho utafikiri labda waliambiwa kiwanda cha TANZANIA BREWERIES kinafungwa na kwamba hawatatengenza bia tena saa zingine tunatia aibu sana halafu kwa huyo mwanamke akitoka hapo akibakwa sijui atasema nini?
    Braza michu nafikir wao wenyewe wakiiona hii picha watakuwa wanaona aibu sana.

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 02, 2007

    Sasa hawa walevi warudi vipi Home? Probably walilala Girafee!

    ReplyDelete
  16. Waacheni wa enjoy life is short.
    Wamejinyweazao wakiamka zimepungua wanarudi home.Tatizo lenu nini?

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 02, 2007

    Hao jamaa ndio wale wenye tabia ya kuhakikisha wanakunywa pesa yao yote waliyochanga kwenye harusi, hawafai kabisa.

    Mwakyembe

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 02, 2007

    Mnamsema tu huyo mwanamke akibakwa..kwani mwanaume yeye hawezi kubakwa kalewa hivi? Dunia ya leo sio msichana tu kuogopa kubakwa hata mwanaume anabakwa tu siku hizi.

    Na pia hata mnaosema si ndio mwanzo wa kuambukizwa ukimwi ukiwa umelewa hivi...kumbe mnasahau kuwa na kwa waliosober ndio mwanzo wa kupata ukimwi. Wewe ukipamia tu watu kwa vile wamelewa hata wewe utajiokotea virusi vyako hapo. Kumbukeni sio kila mtu anapata ukimwi tu kunawengine wanatoa ukimwi?

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 03, 2007

    ooooh lea safari baridi ,kaletewa kachemsha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...