ONE NIGHT 4 MBA STUDENTS WERE OUT TILL LATE AND DIDN'T STUDYFOR A TEST WHICH WAS SCHEDULED FOR THE NEXT DAY.
IN THE MORNING THEY THOUGHT OF A PLAN. THEY MADE THEMSELVES LOOK AS DIRTY AND WEIRD AS THEY COULD WITH GREASE AND DIRT.THEY THEN WENT UP TO THE DEAN AND SAID THAT THEY HAD GONE OUT TO A WEDDING LAST NIGHT AND ON THEIR RETURN THE TYRE OF THEIR CAR BURST AND THEY HAD TO PUSH THE CAR ALL THE WAY BACK AND THAT THEY WERE IN NO CONDITION TO APPEAR FOR THE TEST.
THE DEAN WAS A JUST PERSON SO HE SAID THAT YOU CAN HAVE THE RE - TEST AFTER 3 DAYS. THEY SAID THEY WILL BE READY BY THAT TIME.ON THE THIRD DAY THEY APPEARED BEFORE THE DEAN.
THE DEAN SAID THAT THIS WAS A SPECIAL CONDITION THAT ALL FOUR WERE REQUIRED TO SIT IN SEPARATE CLASSROOMS FOR THE TEST.THEY ALL AGREED AS THEY HAD PREPARED WELL IN THE LAST THREE DAYS.
THE TEST CONSISTED OF 2 QUESTIONS WITH TOTAL OF 100 MARKS.
Q .1. WRITE DOWN YOUR NAME -----( 2 MARKS )
Q.2. WHICH TYRE BURST -------( 98 MARKS )


Nzuri sana hiyo kukamatia waongo!
ReplyDeleteMicuhuzi.
ReplyDeleteNjia ya mwongo ni fupi.
hahaha nimeipenda hiyo!!!
ReplyDeleteHa ha ha ha,Katika vichekesho vyote ulivyotuma bro, hiki kimetulia. Kuna watu wana akili sana! Ama kweli njia ya mwongo fupi.
ReplyDeleteTeh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teee,
ReplyDeleteKipanya nadhani alikuwa ni mmoja wa hao wanafunzi bila shaka.
Kaka michuzi acha kamba wewe that's not MBA exam.Labda kindergatten, wacha kushusha level ya elimu Kwangu mimi that's rather be a loyalty exam than academic au vipi mdau.
ReplyDeleteBrother Michuzi hii imetulia vizuri sana, nimeipenda mno.
ReplyDeleteSafi sana hiyo. Michuzi keeps us alive..... BUT If you have a flat tire, , why push it? Your vehicle can still move!
ReplyDeleteTry this one: Mary`s father have five daughters: Nana, Nene, Nini and Nono. What is the name of the fifth one? Jibu tafuta wakati Michuzi atakapoleta Breaking News kuwa kuwa Maurino amefanya vitu vyake
Blackmpingo
Michuzi hao sio wanafunzi wa MBA. Hao watakuwa ni Mainjinia wa FoE pale ndio wanaweza kubuni ujinga huo wa kujipaka grisi.
ReplyDeleteMimi nahisi tairi lililopta pancha ni lile la akiba yaani spare tire
ReplyDeleteNow that is a good one! Uongo mbaya!
ReplyDeleteSijui kama hawa manunda walipanga uongo vizuri!?
ReplyDeleteSijui hao manunda kama walipanga uongo wao vizuri!?
ReplyDeleteMimi ninamfahamu mtoto wa kike wa tano wa baba. Tena nilisoma naye. Jina lake anaitwa Nunu. Hao dada zake akina Nana, Nene, Nini, na Nono wote nawafahamu pia. Kila siku walikuwa wanakuja nyumbani kucheza na kaka zangu.
ReplyDeleteHuyo mwalimu alishawahi kuwa immigration officer wa kichaka nini kwani ndiyo zao sana hizo za kushikia ndoa feki.
ReplyDeleteJina la mtoto wa tano litakuwa NUNU hope hapo juu ndugu yangu umelipata jibu kabla hata hujaenda never walk alone
ReplyDeleteSir Issa vipi Mzee NAONA BADO UNAENDAGA KUPERUZI MAMBO YA SHULE..SAFI SANA..WEWE KWELI MWANDISHI...
ReplyDeleteTHIS IS GREAT!!
ReplyDeleteHAYA MLIOJIBU MTOTO WA TANO NI NUNU NI PUMBAFU KABISA BANA... CAUSE THE GUY SAID KUWA MARY'S FATHER ANA WATOTO WATANO... SO KAMA HAO NI WANNE THEN MARY NDO ANAKAMILISHA NAMBA NA KUWA WATANO UNLESS NAYE ALIEANDIKA NI PIMBI KABISAAAA
Nzuri sana na nimecheka hasa. Lakini ungeandika wanafunzi wa
ReplyDeletedegree ya kwanza au A-level. Level ya MBA ni kubwa mno na huwezi kukutana na ujinga kama huo