kwa mliokuwa wadau wa klabu ya tazara kinondoni mambo yako hivi siku hizi ambapo kuna hospitali ya magonjwa ya moyo na fleti zilizojengwa na nssf. muziki na ile baa ya muarubaini havipo tena

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. michuzi hizi fleti za kukodi au wanaziuza?

    ReplyDelete
  2. Hata mie swali langu ni hilohilo kama aliyetangulia, zinapangishwa au zinauzwa?
    Zimetulia sana na eneo pia limetulia.
    Chonde chonde Michuzi tafadhali tufahamishe...

    ReplyDelete
  3. Hamtaweza kugusa hata kama ni zakununuliwa. Kuna moja walionyesha kwenye website nyingine hivi kuulizia wanataka $280,000 cash. Nilizania kuwa wamekosea au wameongeza zero moja kumbe ni kweli. $280,000. I was like who will have that kind of money cash in Africa....mh....bongo hamna cha motgage ni cash cash tu....sijui watu wanatoa wapi hiyo hela au wanalipwa shiling ngapi huko....basi huku tuna waste tu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...