hapa ndipo giraffe ocean view ilofunguliwa majuzi na kuwa kivutio kwa wengi. ipo jangwani beach barabara ya monduli (kwenda white sands zamani africana) na ina vyumba 67, 44 executive na suti mbili, na vyumba 21 vya deluxe. kila chumba kina jacuzzi, intanet, plasma screen na kadhalika. bei poa tu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 01, 2007

    bro Michu eeh! sasa bei poa shilingi ngapi? au US dollar ngapi bwana. Na kwa wanablog, anayefahamu bei tuambiane jamani.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 01, 2007

    Kaka Michu hii kitu imetulia kinoma kaka naiaminia wadau tunakaribishwa www.giraffeoceanviewhotel.com

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 01, 2007

    misupu bei poa ni kiasi gani?nataka nishuke na mtasha wangu hapo tule raha,naomba kama web site au namba ya simu

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 01, 2007

    michuzi suti mbili unamaanisha SUIT au SUITE??kama the latter ni swit=SUITE,SUIT=SUTI ya kuvaa

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 01, 2007

    misupu hotel nimeiona kwenye web imetulia kinoma,subiri wanyamwezi tushuke hapo!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 02, 2007

    Sir Issa..SAFI SANA KWA INJI HII..PICHA MURUWA HII..KAMA "..MOTEL.." YENYEWE...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...