Home
Unlabelled
twiga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
bro Michu eeh! sasa bei poa shilingi ngapi? au US dollar ngapi bwana. Na kwa wanablog, anayefahamu bei tuambiane jamani.
ReplyDeleteKaka Michu hii kitu imetulia kinoma kaka naiaminia wadau tunakaribishwa www.giraffeoceanviewhotel.com
ReplyDeletemisupu bei poa ni kiasi gani?nataka nishuke na mtasha wangu hapo tule raha,naomba kama web site au namba ya simu
ReplyDeletemichuzi suti mbili unamaanisha SUIT au SUITE??kama the latter ni swit=SUITE,SUIT=SUTI ya kuvaa
ReplyDeletemisupu hotel nimeiona kwenye web imetulia kinoma,subiri wanyamwezi tushuke hapo!
ReplyDeleteSir Issa..SAFI SANA KWA INJI HII..PICHA MURUWA HII..KAMA "..MOTEL.." YENYEWE...
ReplyDelete