mwigis\aaji anayekuja juu kwa kazi nchini riyana ali aliyecheza kama agnes

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 06, 2007

    Michuzi ulivyo fisi maji ulishamtamani tayari na nashangaa mbona huyo ujamshika kiuno kama kawaida yako.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 06, 2007

    Mtoto mrembo huyu mpaka vidole vimetetemeka hapo michuzi ukaandika mwigis\aaji badala ya muigizaji...lol!
    Namfagilia sana huyu dada,ila sasa ameongeza kilo...ndo raha ya maisha hiyo!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 07, 2007

    Sir Issa.. Vipi Ustaadhi...DADA KAPENDEZA BATASAM LANGUVU...KIFUANI SI HABA...NAONA TUNAKOSEA LUGHA TU HUMUNDANI..."..SHEKI IT BEFORE USE.."

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 07, 2007

    mhhh mtoto bomba anafaa sana kwa kumyonya denda, cheki midomo mhhhhh mtamuuuu!!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 07, 2007

    Make up imekubali, kwa kweli amependeza, ni mrembo, ila hanifikii mimi!
    namfagilia pamoja na mimi
    Wa Wa!!

    ReplyDelete
  6. Mnh! Hakika hii ndilo umbo halisi la binti wa kiafrika, rangi mesimama kweli kweli. Nina uhakika kuna mjamaa tayari hapo ila duh!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 07, 2007

    MSICHANA MUIGIZAJI LAKINI KWA MTU AMBAYE AMEONA ''FUNGU LA KUKOSA'' ATAKUWA AMEMKUBALI HUYU BINTI HAKUNA CHA WARIDI,MONALISA,AU MAMA YAKE WALA KEMI HUYU BINTI ALIIGIZA ILE BWANA NILIANGALIA NILILIA SANA MAANA KUNA SEHEMU ALIKUWA MWANAMKE MSHENZI USIYEWEZA MFIKIRIA NA ALIPOBADILIKA NA KUANZA KULIA NIKAMWONEA HURUMA SANA SANA KWELI ALIIGIZA SANA LAKINI BAADA YA HAPO SIKUWEZA ONA TENA IGIZO LAKE LINGINE OMBI LANGU MICHUZI KWA HUYO DADA MPONGEZE SANA NA KAMA UNA MOVIE ZAKE AMBAZO UNADHANI NDIO THE BEST NIELEZE JINSI YA KUPATA NA KWA WOTE TAFUTENI MOVIE ZAKE BINTI AMETULIA SANA KWENYE MOVIE SIZUNGUMZII UZURI BALI KAZI YAKE.

    ReplyDelete
  8. ...naomba sana tarehe na mwezi kama
    huu mwaka kesho awe bado na rangi yake nzuri hii hii! kwa hakika hatutafurahi kumkuta akiwa Light Skinned, kama ilivyo kawaida ya wasanii wetu walio wengi...!

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 07, 2007

    too Fat tooo Ugly!!!!!!!!

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 07, 2007

    Dada huyu ana rafudhi maridhawa.... nilimuona kwenye filamu FUNGU LA KUKOSA. Kwa kweli dada nakufagilia..

    ReplyDelete
  11. Kwa kweli Headshot nzuri sana! Michuzi, ulipiga wewe?

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 07, 2007

    MWINGIZAJI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...