Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Si angemuita Hasheem amsaidie??? Kiding
ReplyDeleteHuyu ndio Prezidaa bwana!!! Check alivyo social
ReplyDeleteLifestyles, rich and famous livin in the fast lane (BALLIN!)
ReplyDeleteSir Issa CAMERA NZURI HIYO (NIMEIELEWA LUGHA YA PICHA KAKA)..TUKIO MUHIMU..NAONA RAISI WETU.."..ANAPIGA BAO KAMA KAWAIDA YAKE.."..ANGALIA ..!!!WEWE BP/PRESHA IKOSAWA ILA "NGIRI" (NYONGA) BADO UNAYO MAALIM...
ReplyDeleteAisee Issa, nasikia kuwa mzee wetu mstaafu Benja wa Mkapa kamweka ndani (kachukua) bi Miriam Odemba! Embu tumegee basi.
ReplyDeleteRaisi wetu kapendeza,kilichobaki na wananchi wake tunawiri kama yeye.Mara nyingi apigapo picha na wananchi wake tofauti inajitokeza sana.Unajua tu nani mwenye nacho na nani asiyenacho.Utashangaa ukiwaona Wapalestina wanaolalamika wanateseka lakini wamenawili.Bongo mtu akiteseka lazima sura iote makunyanzi
ReplyDeleteWacha acheze kazi imemchosha mara Richmond,Mara Kadhi,Mara Chifupa n.k Kachoka mwacheni acheze kama anavyocheza na hoja za kadhi.
ReplyDeleteHii ni hatari kwa rais wetu mpendwa, watu wa itifaki wanafanya kazi gani. Gonga HAPA
ReplyDeleteRais wetu handsome jamani, ana vaa vizuri, social....ana mengi tu mazuri. Hongera festi Ladi kwa mtunza mumeo shika uzi huo huo
ReplyDeleteMungu ibariki Tanzania, Viongozi na watu wake
Ano wa 4:58pm hakuna hatari hapo, huyu jamaa ni SOLDIER sio mtoto wa kwenye friji na kuchechemea kama kakaake BENI, kishafanya mambo ya hatari kuliko hayo kule Monduli(TMA), hapo ni kama kuruka mfereji tu.
ReplyDeleteWee hapo juu, uzuri wa sura ya Kikwete unakusaidia nini. Hatuitaji uzuri wake hapa, afanye kazi watu wapate maendeleo si kuuza sura yake.
ReplyDelete