jk akishuti kikapu alipokagua viwanja vya mkichezo katika chuo cha michezo malya kilichopo wilayani kwimba mkoa wa mwanza leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 08, 2007

    Si angemuita Hasheem amsaidie??? Kiding

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 08, 2007

    Huyu ndio Prezidaa bwana!!! Check alivyo social

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 09, 2007

    Lifestyles, rich and famous livin in the fast lane (BALLIN!)

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 09, 2007

    Sir Issa CAMERA NZURI HIYO (NIMEIELEWA LUGHA YA PICHA KAKA)..TUKIO MUHIMU..NAONA RAISI WETU.."..ANAPIGA BAO KAMA KAWAIDA YAKE.."..ANGALIA ..!!!WEWE BP/PRESHA IKOSAWA ILA "NGIRI" (NYONGA) BADO UNAYO MAALIM...

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 09, 2007

    Aisee Issa, nasikia kuwa mzee wetu mstaafu Benja wa Mkapa kamweka ndani (kachukua) bi Miriam Odemba! Embu tumegee basi.

    ReplyDelete
  6. Raisi wetu kapendeza,kilichobaki na wananchi wake tunawiri kama yeye.Mara nyingi apigapo picha na wananchi wake tofauti inajitokeza sana.Unajua tu nani mwenye nacho na nani asiyenacho.Utashangaa ukiwaona Wapalestina wanaolalamika wanateseka lakini wamenawili.Bongo mtu akiteseka lazima sura iote makunyanzi

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 09, 2007

    Wacha acheze kazi imemchosha mara Richmond,Mara Kadhi,Mara Chifupa n.k Kachoka mwacheni acheze kama anavyocheza na hoja za kadhi.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 10, 2007

    Hii ni hatari kwa rais wetu mpendwa, watu wa itifaki wanafanya kazi gani. Gonga HAPA

    ReplyDelete
  9. Rais wetu handsome jamani, ana vaa vizuri, social....ana mengi tu mazuri. Hongera festi Ladi kwa mtunza mumeo shika uzi huo huo

    Mungu ibariki Tanzania, Viongozi na watu wake

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 12, 2007

    Ano wa 4:58pm hakuna hatari hapo, huyu jamaa ni SOLDIER sio mtoto wa kwenye friji na kuchechemea kama kakaake BENI, kishafanya mambo ya hatari kuliko hayo kule Monduli(TMA), hapo ni kama kuruka mfereji tu.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 12, 2007

    Wee hapo juu, uzuri wa sura ya Kikwete unakusaidia nini. Hatuitaji uzuri wake hapa, afanye kazi watu wapate maendeleo si kuuza sura yake.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...