mwenyekiti wa kamati ya mahesabu ya serikali bunge la kenya mh. uhuru kenyatta akiagana na mwenyekiti wa kamati hiyo bunge la bongo mh. john cheyo leo ikiwa siku ya mwisho ya mkutano wa siku tatu wa uwajibikaji kwenye matumizi na mapato ya pesa za umma ulofanyika ubungo plaza. kati ni mh. chrisant mzindakaya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 05, 2007

    DUH! huyo Uhuru kafanana kweli na marehemu baba yake Mzee Jommo Kenyatta!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 05, 2007

    Tuwape pole watani wetu wa jadi. Hiyo ndege iliyoanguka huko cameroon na inasadikiwa kuwa hamna abiria aliye hai na abiria ni kutoka nchi 23 za ulimwenguni.

    Mungu awalinde na kuwapa nguvu katika kipindi hiki kigumu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...