waandaaji wa mtanange huo asha baraka mkurugenzi wa twanga pepeta na puff wa manywele enterprises wakibadilishana mawazo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 12, 2007

    hivi binti yako wewe Asha Baraka unaweza ukamweka kukatika mbele ya Mibaba na mwisho kwenda kulala nayo....Si katai dada zetu kucheza ngoma najua ni jadi yetu na utamaduni wetu.Lakini hii ni udhalilisha wanawake....lol

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 12, 2007

    Huyo blaza mkono wake upo wapi ? mbona hatuuni ?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 12, 2007

    Asha Baraka nimekuheshimu tangu siku nyingi lakini leo ngoja nikupashe, hivi mnapoandaa maonyesho kama hayo huwa mnakuwa mnafikiri nini hasa huko kichwani kwenu, kumweka mwanamke akatike mbele za mibaba yenye wake zao na pia unamfundisha nini mwanamke hasa, kwanza unenguaji wenyewe siku hizi ni matusi matupu halafu mnashabikia, ulimwengu wote sasa uko against na udhalilishaji wa wanawake nyinyi mnaupa kipau mbele, hivi mmeshindwa kuja na ideas nzuri za maonyesho zaidi ya kukatika? kwani kukatika ndio sanaa pekee TZ, angalieni jamani, ushabiki mwingine ni aibu tupu, kwanza wewe mwenyewe ni mwanamke unaona faraja kweli??aibu tupu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 12, 2007

    Acheni umbea nyie, kukatika ni utamaduni wa kiafrika na hata kukaa uchi kwa taarifa yako haikuwa jambo la ajabu Afrika. Ni baada ya wakoloni na waliojifanya kuja kutangaza dini Africa walivyokuja ndiyo wakaleta mambo yao ya kutukataza kukaa uchi.

    Hiyo mibaba aliyokuja hapo ilikuwa na haki ya kuamua kutokuja. Sidhani kama Asha Baraka aliifunga minyororo hiyo mibaba ili ije.

    Vilevile, sidhani kama hiyo mibaba inawabaka hao akina dada na kama wanalala pamoja basi kunakuridhiana. Tanzania ni nchi ya haki na sheria ziko wazi kabisa kwamba kubaka ni kinyume cha sheria. Kama kuna mtu amebakwa basi aviburuze hivyo vibkaji mahakamani. Acheni kulalamika lalamika kwa unafiki.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 13, 2007

    Unyesema hapo labda wewe ni mwanaume. Mnadhalilisha wanawake.
    Kuna mashindano mengi lakini haya ni kudhalilisha wanawake. Mibaba inakodolea wanawake machoo mmm mmmm

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 15, 2007

    Asha sasa unakoenda ni kubaya, umejikoroga na mkorogo mpaka unatisha kama jini! Au ndo kumfukuzia Michael Jackson nini? Tunakujua wewe ni mweusisasa huo weupe wa kulazimisha wa nini?

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 17, 2007

    MHH TANZANIA TUTAACHA NINI UKOLONI . SASA hUKU KUJIGOROGA NAMNA HII ASHA NI NINI, DON"T YOU KNOW BLACK IS BEUTY, NATURAL BEUTY BABU, WEUPE SI UZURI ASA WA KUJIKOROGA UTAZANI UMEUNGUA NA JUA. BE PROUD OF YOUR NATURAL BEAUTY MAMA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...