washindani wakichuana kulicheza twanga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 12, 2007

    HII YOTE NI SABABU YA KUKOSA EMPLOYMENT.DADA ZETU WANA ZALILISHWA SANA. HI SI SAWA NA KUCHEZA SINDANBA.WACHEZA SINDAMBA HUCHEZA KWA BULE NA HII NDIYO JADI NA UTAMADUNI WETU..LAKINI HII INA ONYESHA KABISA NI KWA SABABU YA UMASIKINI...

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 12, 2007

    Natumani wanalipwa kidogo au zawadi ni nzuri sana. kwa vile hata ukishinda twanga pepeta haisaidii CV

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 12, 2007

    UKIWAANGALIA HATA SURA ZAO TU INAONYESHA NI WATU WALIOFAKAMIA BAMIA HADI HAWAZITAMANI TENA. HII YOTE SHIDA YA MAISHA. HIVI UKIWEKA TANGAZO WAJE (HATA WAWILI TU) HOTELINI WAKUKATIKIE VIUNO HADI ASUBUHI KWA "POSHO" YA ELFU 20 KILA MMOJA NA WAKIMALIZA "MCHUANE" WATAKATAA KWELI?

    UMASKINI HUU UTAISHA LINI MUNGU WANGU. AJIRA HATUNA, ELIMU NDIYO HIYO TIMUA TIMUA, MAJI TAABU, UKIMWI HUO HAPO; TUTAPONA KWELI? MWENYEZI MUNGU MTUKUFU TUNUSURU VIUMBE WAKO!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...