Home
Unlabelled
mshindi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
wote wazaramo !!!!(suprise ?)
ReplyDeletewote wazaramo !!!!(suprise ?)
ReplyDeletejamani mbona wadada wamechoka hivo au ndo mugongomugongo? hawakufurahia zawadi au ......haya tunawasubiria kuwaona katika bendi za ASET, si wameaidiwa ajira......mmmmmh jamani maisha,.......
ReplyDeleteHakuna Utube clip tuone.
ReplyDeletena hiyo rangi ya nywele ni fashion kwa sasa au ni uniform? Too Gold I think
Acheni kupenda hizo nywele Blonde za wazungu! Waafrika nyie!
ReplyDeleteJana nilikuwa mmoja wa washabik walio jitosa kenye onyesho la shindano hilo,kwlei lilinifurahisha ingawa nilikuwa sijui style za kucheza zina chezwaje.
ReplyDeleteMshindi nadhani nialikua ana stahili kushinda , sababu alikoga nyoyo za washabiki wote, kiasi kila alipo kuw aakiingia watu walikuwa wana shangilia kwa nguvu zote kwa kutaja jina ,Bongo, bongo , bonge.
Kwa ujumla , mshindi hakuwani best dancer , kwasababu ya unn wake, hakuweza kukata kiuno tuta pagawa ,lakini aliwza himili na kulitumia jukwa vilivyo, wakati mmoja aliingia jukwani kw akubilingita sakafuni na pia kupigasarakasi, kwakweli ushindi alistahili na alioneysha kuwa yey ni performa mzuri.
Jamai kweli kujieleza kugumu huyu Anony wa SAturday May 12, 2007 6:59:00 PM sijui alitaka kusema nini kwa kweli. Aaaa inaelekea mwalimu wako alipata taabu sana
ReplyDeletehuyo jamaa wa 6:59,may12 kazi kwelikweli kumuelewa anajaaribu kuzunngumzia nini,inabidi akarudie mambo ya insha na amezidi kusahau herufi,kweli kazi ipo.
ReplyDeleteMhhhhh!!?? Hili jimama ndio limeshinda? Yaani hivyo vijisichana vimeshindwa na hilo nungayembe? Huyu lazima alienda mlingotini Bagamoyo si mzaramo huyu?
ReplyDeletewe anony wa may15 inaelekea umezoea uchawi uchawi tu ndo mana fikra zako zinakupeleka huko!! ushaambiwa huyo mama alikuwa anajituma stejini ukubwa wa umbo sio tija! Ngamia wewe tena mchawi mkubwa!
ReplyDelete