Home
Unlabelled
mchuano
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
HII YOTE NI SABABU YA KUKOSA EMPLOYMENT.DADA ZETU WANA ZALILISHWA SANA. HI SI SAWA NA KUCHEZA SINDANBA.WACHEZA SINDAMBA HUCHEZA KWA BULE NA HII NDIYO JADI NA UTAMADUNI WETU..LAKINI HII INA ONYESHA KABISA NI KWA SABABU YA UMASIKINI...
ReplyDeleteNatumani wanalipwa kidogo au zawadi ni nzuri sana. kwa vile hata ukishinda twanga pepeta haisaidii CV
ReplyDeleteUKIWAANGALIA HATA SURA ZAO TU INAONYESHA NI WATU WALIOFAKAMIA BAMIA HADI HAWAZITAMANI TENA. HII YOTE SHIDA YA MAISHA. HIVI UKIWEKA TANGAZO WAJE (HATA WAWILI TU) HOTELINI WAKUKATIKIE VIUNO HADI ASUBUHI KWA "POSHO" YA ELFU 20 KILA MMOJA NA WAKIMALIZA "MCHUANE" WATAKATAA KWELI?
ReplyDeleteUMASKINI HUU UTAISHA LINI MUNGU WANGU. AJIRA HATUNA, ELIMU NDIYO HIYO TIMUA TIMUA, MAJI TAABU, UKIMWI HUO HAPO; TUTAPONA KWELI? MWENYEZI MUNGU MTUKUFU TUNUSURU VIUMBE WAKO!