hatimaye miss universe ishafanyika na binti yetu flavian matata amemaliza akiwa ndani ya 10 bora. matokeo kamili ni kama ifuatavyo. wanaojua kiinglishi watanisaidia kutransleti kwani kama mjuavyo mie kwangu hicho kin'geng'e iz noti richebo...

Miss Japan, Riyo Mori Crowned MISS UNIVERSE 2007
This evening, during one of the year's most exciting live international television events, a star-studded panel of judges chose Miss Japan, Riyo Mori, as MISS UNIVERSE(R) 2007.

Ms. Mori is 20 years-old and has been dancing since she was 4. She loves traveling the world and enjoys visiting museums and watchingmusicals.

The judging panel for the 2007 Miss Universe Pageant included NBC's"Heroes" James Kyson Lee, NBC's "Deal or No Deal" briefcase model LindsayClubine, Dallas Cowboys quarterback Tony Romo, rocker Dave Navarro, Worldand Olympic figure skating champion Michelle Kwan, fashion designer Marc Bouwer, Novela Star Mauricio Islas, "Project Runway" judge and Ellemagazine fashion director Nina Garcia, and former Miss Universes DayanaraTorres (1993) and Christiane Martel (1953).

Throughout the two-hour event, contestants from 77 countries around theworld competed in three categories: swimsuit; evening gown; and personality interview.
Zuleyka Rivera, Miss Universe 2006, crowned her successor at the conclusion of the two-hour primetime telecast, before an estimated worldwide viewing audience of more than 1 billion in over 170 countries.

Final Results:
First Runner Up: Miss Brazil, Natalia Guimaraes will assume the duties of MISS UNIVERSE 2007 if the title holder forsome reason cannot fulfill her responsibilities.
Second Runner Up: Miss Venezuela, Ly Jonaitis


Rest of Top Five: Miss Korea, Honey Lee; and Miss USA, Rachel Smith.
Rest of Top Ten: Miss India, Puja Gupta; Miss Angola, Micaela Reis;Miss Tanzania, Flaviana Matata; Miss Nicaragua,Xiomara Blandino; and Miss Mexico, Rosa Maria OjedaCuen.

Rest of Top Fifteen: Miss Thailand, Farung Yuthithum; Miss Denmark, Zaklina; Sojic; Miss Slovenia, Tjasa Kokalj; MissUkraine, Lyudmyla Bikmullina; and Miss CzechRepublic, Lucie Hadasova.

Miss Photogenic Award:

Miss Philippines, Anna Theresa Licaros. The general public voted on http://www.nbc.com for the delegate who exemplifies beauty through the lens of a camera. She received a $1,000 cash prize and a trophy from Rogaska Crystal.

Congeniality Award:

Miss China, Ningning Zhang. This award reflects the respect and admiration of the delegate's peers,who voted for her as the most congenial,charismatic and inspirational participant. She also received a $1,000 cash prize and a trophy from Rogaska Crystal.
The MISS UNIVERSE 2007 prize package includes:
Official Miss UNIVERSE
Mikimoto pearl tiara; 2 Year Scholarship from The NY Film Academy in NYC; custom designed wardrobe by Tadashi;
National and International multi-media advertising campaign and a complete denim wardrobe from YMI Jeanswear;
Swimsuit wardrobe from BSC Swimwear Thailand;
Shoe wardrobe from Nina;
A Ritmo Mundo Jumbo Jet Mystery Dial time piece;
Year-long supply of hair care products and tools from Farouk Systems; Membership to Gravity Fitness and papering at John Barrett Salon;
Fashion Portfolio by leading fashion photographer Fadil Berisha;
Consultation with stylist Billie Causieestko;
New York City apartment for the year of her reign including living expenses; professional representation by the Miss Universe Organization and Trump Model Management; and a personal appearance wardrobe.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 29, 2007

    Flaviana, weka kichwa chako juu!!! You represented Tanzania and Afrika to the fullest - Big Ups!!!

    Congratulations, and welcome back home with you head up!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 29, 2007

    kafika mbali sana. Kajitahidi japo wazungu wamembania ila kajitahidi sana she deserved the crown bt itz all good. na wazungu wanaharibu jina la nchi yetu wanavotamka Ta-nz-niaaa badala ya Tanzani-ia!!! good work flavia...u n nancy r fo real n u really repped Tz to da fullest!

    ReplyDelete
  3. 10 Bora Si haba, nao ni ushindi. Hongera sana!Ila ajiadhari asije akarudi nyumbani na kuishia kwenye majarida ya "Udaku". Tunadhani ana fursa nzuri sasa ya kuchangia kwenye jamii na hususan kuwa sauti ya wasio na sauti; akina mama wengi wenye kunyanyaswa kwenye jamii yetu kwa namna mbali mbali.Kila la Heri! Asante sana Michuzi kwa kufuatilia habari hizi kwa karibu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 29, 2007

    hongera flaviana umejitahidii sanaaaaaaaaa..kwa mara ya kwanza na kuwa wa sita c mchezoooo....
    **MISS UNIVERSE 2007** JAPAN, Riyo Mori
    1st Runner-up: BRAZIL, Natalia Guimaraes
    2nd Runner-up: VENEZUELA, Ly Jonaitis
    3rd Runner-up: KOREA, Honey Lee
    4th Runner-up: USA, Rachel Smith

    Top 10 Finalists
    6. TANZANIA, Flaviana Matata
    7. ANGOLA, Micaela Reis
    8. MEXICO, Rosa Maria Ojeda
    9. INDIA, Puja Gupta
    10. NICARAGUA, Xiomara Blandino

    Top 15 Semifinalists
    11. SLOVENIA, Tjasa Kokalj
    12. CZECH REPUBLIC, Lucie Hadasova
    13. DENMARK, Zaklina Sojic
    14. THAILAND, Farung Yuthithum
    15. UKRAINE, Lyudmilla Bikmullina

    MISS PHOTOGENIC: PHILIPPINES, Anna Theresa Licaros
    MISS CONGENIALITY: CHINA, Ningning Zhang
    BEST NATIONAL COSTUME: Eliminated

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 29, 2007

    Hongera sana Flaviana Matata! Ame-make waves duniani na kwenye dunia ya internet. Uki-google Flaviana Matata unapata pages kibao! LAkini kuna blogger mmoja alisema ni mzuri lakini hawezi kushinda sana kwasababu hana 'polish' kama contestants wengine. Anyway hicho ni kitu kidogo. 'Polish' unapata through experience na exposure. Sasa yawezekana wanawake TZ tukawa identified kama Flaviana i.e close-shaved, natural hair etc (angalia Tibaijuka na Migiro). Ameanzisha trend. Tanzania oyeee!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 29, 2007

    Asiiishie kwenye majarida ya UDAKU kuna mdau kasema hivyo,sasa atafanya kazi gani?Kwanza akishafika bongo sasahivi mibaba itamzonga sana baloon,Rav4 ataahidiwa nyingi tu lakini mibaba kadhaa ikishampita basi tunaachiwa akina sisi baada ya hapo kwenye udaku.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 29, 2007

    Hongera Flavy, mwanzoni ulituambia Flaviana ndo Mwafrika pekee aliyeingia kumi bora!! mbona kuna muangola hapo??!! Issa uwe makini.

    ReplyDelete
  8. Hongera sana flaviana , umejitahidi sana!

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 29, 2007

    ....mi sijui mambo haya ya umiss wanatumia vigezo vipi, lakini natamani Binti yetu angechukua nafasi ya mmarekani.angalau alitakiwa tkt top 5.
    However kama msemaji hapo juu, umejitahidi sana sana sana. Tunakushukuru wewe na waliokuandaa kwa kuipeperusha Bendera yetu.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 29, 2007

    Hivi ni nani aliye-design Night Gown yake?? Lile Gown lilikuwa baya kusema ukweli. Jamani Tanzania Designers wengi wabovu sana yaani hata tungemnunulia nguo kutoka Walmart angependeza sana kuliko lile gown baya. Angekuwa na Gown bomba angeweza kushinda. Lakini hata hivyo hongera sana Flaviana Matata.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 29, 2007

    Yule Mmarekani walimpendelea sana pamoja na kuanguka lakini she made it to the top five. Hadi watu walikuwa wanazomea walivyotangaza matokeo ya Top 5.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 29, 2007

    Hogera sana. TUnakusubiri bongo kwa hamu. Tumejipanga vilivyo. Uje kwa makini sana dada. Hongera sana sana!

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 29, 2007

    Anon hapo juu thats completely true that evening dress was too ugly and too cheap, hivi hakuwa na masponsa alikuwa anajinunulia nguo kwa hela yake? hakwenda mbali sababu ya evening dress.
    next time nunueni nguo toka kwa designers wanaoeleweka tutawapa tafu local designers kwenye shughuli nyingine but not for a serious competition like that

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 29, 2007

    misukosuko ya flaviana imeishia hapa,hongera zake .Swali sasa sijui kuna lipi tena maana ulimsisitizo wa kupiga kura tumechakarika mwanangu mpaka tumekoma!
    Haya tusubiri miss World si nao wanamtindo wa kuvote online swali?
    Sasa huyu Lundenga akituwekea mtu Bomu mi sipigi tena,Please Flaviana for miss Tanzania......Nawakilisha

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 29, 2007

    FLAVIA MATATA hongera sana. Umejitahidi sana.

    Hii ni nzuri kwa siye (nchi) tulivyoshiriki kwa mara ya kwanza kujifunza mengi tu.

    1. Tuwachague hao wasichana mapema ili wapate muda wa kujifunza na kushiriki katika mambo muhimu ya huko nyumbani (volunteering) is a big deal kwa hawa watu. Wengi wa hao wasichana utaona wanasema mimi nilikua nasaidia watoto, wagonjwa, homeless etc. Nasisi tuwachague mapema ili wapate muda wa kufanya hivyo.

    2. Tukisha wachagua mapema pia tuwafundishe jinsi ya kujibu haya maswali. Hawa wengi wao na washindi wa kila siku wanafundishwa kabla ya kuja hapa. Huoni majibu yao yanakua yanaelekeana in different ways. Waandaaji wao wanakua wanachukua maswali yote yaliyowahi kuulizwaga na kuwapa warembo wao na kuwaambia ukiulizwa hivi sema hivi. It is all about the crown. Tuwafundishe wa kwetu pia.

    3. Tuwashauri washiriki wetu watumie lugha ya taifa not the official language. Flavia alikua anauwezo wa kushinda lakini katika maswali na ukisikiliza interview nyingi kwenye internet nilijua toka mwanzoni English itamcost taji lake. Kuna majibu niliyaona sijui kuwa alielewa swali aliloulizwa au ? Sio kuwa hajui kingereza na najua she is a very bright woman lakini bongo hata mimi nimeishi labda uende hizi medium skulls za sasa lakini ukisoma public schools nilizosomaga utaishia kujua kingereza cha kuandika tu au cha kusoma tu. Kila grammer na tense ipo kichwani lakini wakati wakuongea au kujieleza ni kazi sana. Ni bora kutumia lugha yetu ya taifa ambayo mtu anakua comfortable kuongea pia.

    4. Gauni la usiku limemcost mtoto wa watu. Lile gauni lilikua sijui kubwa kifuani na chini halikumwonyesha figure yake kabisa. Alipendeza na swimsuit, nguo ya taifa, na zile nguo walizovaa sare lakini mara alivyotoka na gauni la usiku na ile color basi akafade na uzuri wote ukapotea ingawaaje mwenyewe alijitahidi sana kutembea lakini gauni kifuani na kiunoni lilikua a little bit loose. Na kibaya ni pale wanaporudi kule back stage baada ya kutembea akawa anatengeneza gauni lake kifuani, unaona upande wa pembeni kabisa nguo haikucover ilivyotakiwa. I was feeling so bad. It was a second thing lakini labda walikua na maana yao ya kuonyesha. Kwanini hawakuedit hiyo sehemu? Walikua wanataka kuonyesha kuwa gauni linamaupungufu fulani.

    5. Asante michuzi kwa kutuweka aware of this thing. Kama Tanzania wakituonyesha au kurudisha trust yetu kuwa watachagua mtu kutokana na uzuri wake, kipaji chake , akili yake na uwezo ( nina maana mshindi halisi) kuliko kuchagua kwa vile ni mtoto wa fulani, au anamjua fulani au anaupopularity fulani. Nafahamu fika mkitueleza huku mapema tutachanga hela ili kuwasaidia katika maandalizi ya haya mataji makubwa. Mmeona umoja wetu katika kuvote kwenye internet mpaka akawa wa tatu. Na hata kuchanga hatuna much lakini tumejifunza huku nchi tunazoishi wanachi wao toka wakiwa watoto wanafundishwa kupay back to the society. Na hii ni moja ya njia ya sisi tulio mbali kupay back to our country. Na pia kufanya hivyo tunaitangaza sana nchi yetu. Leo kila mtu hapa kazini wananiuliza "you said you are from Tanzania right?" Siku zote walikua wanajua kuwa hili lakini leo wamekua na raha kusema nafanya kazi au namjua mtu katoka Tanzania. Watanzania tuko wachache sana na pia ukiangalia bado tunasafari kubwa ya kujitangaza ulimwenguni humu ukilinganisha na nchi nyingine kama Nigeri, Kenya au South africa etc ambazo zimeshajitangaza. Tunahitaji sana haya mambo, 6 out of 10 people ninaokutana nao kila siku hawajui Tanzania iko wapi na wengine wanazania ni Tasmania. Na wachache wanasema "oh Nyerere" na kusema mimi ndio mtu wa kwanza wamekutana naye kutoka Tanzania. Hivyo mtaona jinsi tulivyo na kazi kubwa ya kuitangaza nchi yetu

    Hongera Flavia

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 29, 2007

    hata mimi nilisema something kuhusu lile gauni. Lakini michuzi kaminya comment yangu - na wala sikusema chochote negative. Michuzi English is not reachable basi ukiandika kimombo kidogao anadhani utanatuka. Anyway, binti ni mzuri sana, ila hata mimi nakubali kwamba lile gauni ndiyo lilimharibia - lilikuwa kama mfuko wa blue, halafu halikumfunika miguu, viatu vikawa vinaonekana, na vilikuwa si haviendani na ile nguo. Pia wangemnunuliwa viatu vizuri kwa ajili ya Swimsuit. Kwa kweli sponsors wamemharibia. Otherwise angefanya vizuri tu

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 29, 2007

    HONGERA FLAV.
    LAKINI EVERNING DRESS LILIKUWA BAYA SANA! NEXT TIME TAFUTENI DESIGNER MZURI AU TUNUNUE SPESHELI TU GAUNI LILIKUWA KAMA KANZU TOO PLAIN!! NA NEXT TIME KINGEREZA KIDOGO KWENYE KUJITAMBULISHA. LAKINI HONGERA SANA KWA KUPEPERUSHA NCHI YETU.

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 29, 2007

    gauni limemmaliza maana nilipomwona tuu kwenye stage na lile gauni nilijua done deal...na hata kitambaa kwa mabli kinaonekana cheap sana,jamani tafadhari msiloose kwa vitu ambavyo vipo ndani ya uwezo...at the end it waaaaas all good na nilifurahi alipotumia kiswahili na mkalimani kuliko kiingereza ambacho najua hakijui vizuri na sio lazima

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 29, 2007

    Anonymous Tarehe Tuesday, May 29, 2007 7:01:00 PM, Mtoa Maoni:

    Lugha bado tatizo la kitaifa. Mwache tu atumie kiswahili wakarimani wapo. Ukitaka kusikitika wasikilize hata mawaziri wapoongele kiingreza, kinawapa taabu sana. Kwa hiyo ile ilikuwa smart move kwa Flaviana kujieleza kwa Kiswahili. Kiingereza bado jiwe kwa Wabongo wengi amini usiamini!

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 30, 2007

    Kipara kimesaidia, sikunyingi hawajaona kichwa kisicho kuwa na nywere.... Well I think it was clever strategy and it worked,……. other wise she was not able kufua dafu that far

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 01, 2007

    Flavian na Nancy mmemake a big difference kwenye swala zima la ma Miss,atleast u reached some level of seriousness. Tunaomba kamati husika ziendelee kuwa makini katika kuchagua smart people ambao hawatatuhangusha. Hivi michuzi Faraja Kotta kaishia wapi,i thought that girl was smart lakini nikashangaa kumuona kwenye magazeti ya udaku...mmh jamani sio sifa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...