akiwa ameketi kwa furaha ni mshindi wa shindano la kucheza twanga halima haroun na mshindi wa pili husna iddi (shoto) na mshindi wa tatu shamim halfani (kulia) wa kati ni mshindi wa mwaka jana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 12, 2007

    wote wazaramo !!!!(suprise ?)

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 12, 2007

    wote wazaramo !!!!(suprise ?)

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 12, 2007

    jamani mbona wadada wamechoka hivo au ndo mugongomugongo? hawakufurahia zawadi au ......haya tunawasubiria kuwaona katika bendi za ASET, si wameaidiwa ajira......mmmmmh jamani maisha,.......

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 12, 2007

    Hakuna Utube clip tuone.

    na hiyo rangi ya nywele ni fashion kwa sasa au ni uniform? Too Gold I think

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 12, 2007

    Acheni kupenda hizo nywele Blonde za wazungu! Waafrika nyie!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 12, 2007

    Jana nilikuwa mmoja wa washabik walio jitosa kenye onyesho la shindano hilo,kwlei lilinifurahisha ingawa nilikuwa sijui style za kucheza zina chezwaje.

    Mshindi nadhani nialikua ana stahili kushinda , sababu alikoga nyoyo za washabiki wote, kiasi kila alipo kuw aakiingia watu walikuwa wana shangilia kwa nguvu zote kwa kutaja jina ,Bongo, bongo , bonge.

    Kwa ujumla , mshindi hakuwani best dancer , kwasababu ya unn wake, hakuweza kukata kiuno tuta pagawa ,lakini aliwza himili na kulitumia jukwa vilivyo, wakati mmoja aliingia jukwani kw akubilingita sakafuni na pia kupigasarakasi, kwakweli ushindi alistahili na alioneysha kuwa yey ni performa mzuri.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 13, 2007

    Jamai kweli kujieleza kugumu huyu Anony wa SAturday May 12, 2007 6:59:00 PM sijui alitaka kusema nini kwa kweli. Aaaa inaelekea mwalimu wako alipata taabu sana

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 13, 2007

    huyo jamaa wa 6:59,may12 kazi kwelikweli kumuelewa anajaaribu kuzunngumzia nini,inabidi akarudie mambo ya insha na amezidi kusahau herufi,kweli kazi ipo.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 15, 2007

    Mhhhhh!!?? Hili jimama ndio limeshinda? Yaani hivyo vijisichana vimeshindwa na hilo nungayembe? Huyu lazima alienda mlingotini Bagamoyo si mzaramo huyu?

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 16, 2007

    we anony wa may15 inaelekea umezoea uchawi uchawi tu ndo mana fikra zako zinakupeleka huko!! ushaambiwa huyo mama alikuwa anajituma stejini ukubwa wa umbo sio tija! Ngamia wewe tena mchawi mkubwa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...