
haya tena. udaku wa kibongobongo ndo ushaingia ughaibuni baada ya kuibuka gazeti jipya la 'mambouk' linalochapwa na mwandishi mahiri kassim kassam. ukitaka kuwasiliana naye pitia hapa bataking2003@yahoo.com (samahani prodaksheni ya flaya imedata kidogo) na si vibaya tukimkumbuka miss tz anaemaliza muda wake kwa kupitia hapa http://video.google.com/videoplay?docid=-5361217151692501108&q=wema+sepetu&hl=en


Ahaaa!! OK!! Kassim??? Fine. These are the Bullshitters you call mahiri eeh?? Acha watulishe uchafu ndicho walicho nacho. Tutasoma! Nitaagiza copy.
ReplyDeleteAFADHALI BWANA TUJISOMEE UMBEYA WA NYUMBANI MAANA KILA KONA KUNA MAGAZETI, TV, REDIO ZA WA-GHANA, NIGERIA WAHINDI, WA-TURKISH NA WENGINEO. MAMBO HUANZA KIDOGO KIDOGO HUENDA NASI TUKAANZISHA TV YETU YA KISWAHILI HUKU TUNA MAMBO YETU KIBAO TUNAWEZA TUKAONYESHA. HATUA KUBWA HIYO MZEE.JITUME TUTANUNUA TU TUNACHANGIA WENGINE KILA SIKU.
ReplyDeleteMuhimu sana hiyo mwanangu ingawa siju gazeti lako linapatikana wapi maana UK kubwa. Wabongo wengi huku hatuna maduka kama walivyo walokolo wengine walioona mbali. Si vibaya ukatufumbua macho kwa hilo.Nataka kujua gazeti hilo lipo wapi na linapatikana vipi hapa UK. Wako SIASA.
ReplyDelete