Home
Unlabelled
ugenini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
I am not sure if that is the jearsey for the new season 2007/08 but for the current season see http://www.uksoccershop.com/index.php?main_page=popup_image&pID=2823
ReplyDeleteI hope he has not bought a fake one! And makes me question if he really is a fan. www.arsenal.com
MICHUZI TUPE MATOKEO YA KILUMBA YANGA NA WASUDANI
ReplyDeletenikweli michuzi amina chifupa ameacwa? nipe taarifa kama kweli nataka uwemshenga wangu
ReplyDeleteMichuzi nadhani aka kajezi ndiko kalipoipa ubingw ManU usiwe na donge lakini
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteUsitunyime yaliyojiri kwenye presi konferensi ya MHe Amina Chifupa 'wa Mpakanjia'. Nasikia mkataba wake wa ndoa na MediMpakanjia ume-expiry.
Tupe issue mtu wetu, manake hawa watu maharufu utulivu zero
yeah, Hiyo ndio ya 07/08
ReplyDeleteThat is only rumors. They have only had the current home shirt for 1 year. Call the arsenal shop and they will tell you that no new jersey until the 2008/09 season. That might be fake
ReplyDeleteHEBU LETENI HABARI ZA NYETI KAMA ZA KINA NGWASUMA JUMAMOSI mambo yalikuwa poa kwa saaanaaaaaaa twanga pepeta NYUMA hawaoni ndani. vijana wana vipaji, uuuuuwiiiiii hasa vya kunengua si wanawake si wanaume wote wamebarikiwa na sapoti kubwa toka kwa::
ReplyDeleteWAKURUGENNZI:
BENI MULOKOZI wa madalali na manyumba, SAMUELI MABIBA wa visima vya mafuta ambavyo havikauki, CHALESI MUTAWALI, mzee wa magari yote, mavogu mabmw na kilakitu. hata la hutu PETER RUPIA nyuma sasa. peter na beni na chale kazi yao kuhonga.
MICHUZI HAPA NATAKA NIONE JEZI YAKO YANGUVU, ILE NYEKUNDU YA LIVERPOOL. tafazali naombba unitolee maana nina machache ya kutoa. ASANTE MHESHIMIWA.