kuna mdau katuma hii sasa hivi kutuhabarisha kwamba hii ndo unifom ya wana imarati wakiwa ugenini. ingawa mie ni bwawa la maini damu sina hiana kwa vile hii blogu ni yetu wadau woote - ingawa jana tungetoka droo na fulham ila basi tu...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 06, 2007

    I am not sure if that is the jearsey for the new season 2007/08 but for the current season see http://www.uksoccershop.com/index.php?main_page=popup_image&pID=2823
    I hope he has not bought a fake one! And makes me question if he really is a fan. www.arsenal.com

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 07, 2007

    MICHUZI TUPE MATOKEO YA KILUMBA YANGA NA WASUDANI

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 07, 2007

    nikweli michuzi amina chifupa ameacwa? nipe taarifa kama kweli nataka uwemshenga wangu

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 07, 2007

    Michuzi nadhani aka kajezi ndiko kalipoipa ubingw ManU usiwe na donge lakini

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 07, 2007

    Michuzi,
    Usitunyime yaliyojiri kwenye presi konferensi ya MHe Amina Chifupa 'wa Mpakanjia'. Nasikia mkataba wake wa ndoa na MediMpakanjia ume-expiry.

    Tupe issue mtu wetu, manake hawa watu maharufu utulivu zero

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 07, 2007

    yeah, Hiyo ndio ya 07/08

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 07, 2007

    That is only rumors. They have only had the current home shirt for 1 year. Call the arsenal shop and they will tell you that no new jersey until the 2008/09 season. That might be fake

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 07, 2007

    HEBU LETENI HABARI ZA NYETI KAMA ZA KINA NGWASUMA JUMAMOSI mambo yalikuwa poa kwa saaanaaaaaaa twanga pepeta NYUMA hawaoni ndani. vijana wana vipaji, uuuuuwiiiiii hasa vya kunengua si wanawake si wanaume wote wamebarikiwa na sapoti kubwa toka kwa::
    WAKURUGENNZI:
    BENI MULOKOZI wa madalali na manyumba, SAMUELI MABIBA wa visima vya mafuta ambavyo havikauki, CHALESI MUTAWALI, mzee wa magari yote, mavogu mabmw na kilakitu. hata la hutu PETER RUPIA nyuma sasa. peter na beni na chale kazi yao kuhonga.
    MICHUZI HAPA NATAKA NIONE JEZI YAKO YANGUVU, ILE NYEKUNDU YA LIVERPOOL. tafazali naombba unitolee maana nina machache ya kutoa. ASANTE MHESHIMIWA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...