LIGHTER SIDE OF LIFE: Why Tanzanians can't be terrorists!

1. We are always late; we would have missed all 4 flights
2. Pretty girls on the plane would distract us
3. We would talk loudly and bring attention to ourselves.
4. With food and drinks on the plane, we would forget why we're there
5. We talk with our hands; therefore we would have to put our weapons down
6. We would ALL want to fly the plane
7. We would argue and start a fight in the plane
8. We can't keep a secret; we would have told every one a week before doing it
9. We would have put our country's flag on the windshield
10. We would all have fallen over each other to be in the photograph being taken by one of the hostages

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 05, 2007

    Jamani, watanzania tumebadilika,ushamaba umetuisha, sasa wewe sijui unaongelea watanzania wa miaka gani!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 05, 2007

    Brother Michu,Tuletee habari za ndege imeanguka ya watani wetu wa jadi huko Cameroon,BBC wanadai kuna raia mmoja wa bongo miongoni mwao na 5 britons.please nina ndugu yangu yuko UN Abidjan na huwa anatumia sana KQ kwa safari za kwenda bongo.
    nawakilisha

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 05, 2007

    sikweli, wabongo wote hawapo hivyo,nakataa,wapo wachache wenye tabia hizo lkn si wote , alaah si wote washamba .....wabongo hata kijijini wapo waliostaarabika

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 05, 2007

    HATA WEWE KAKA MICHUZI UMECHEMSHA HAPA, SIKU ZOTE UNAONGELEA NDUGU ZETU WAKENYA NA WAGANDA WANAOCHUNGULIA BLOG HII, HUONI KUWA KUPOST ARTICLES KAMA HIZI NI KUJICHORESHA TU KWA ULIMWENGU MZIMA? MIND YOU KUNA WAZUNGU PIA WANAOJUA KISWAHILI NA HUENDA WAKAWA WANAVISIT APA.MIMI NILIIONA HII JOKE LONG TIME NA ILIKUA HAISEMI 'TANZANIANS' ILIKUA INASEMA 'AFRICANS'.HUENDA HAOHAO WATANI ZETU NDO WAMECHANGE HAPO, SASA WEWE KUIPOST NDO TWAONEKANA WAJINGA ZAIDI. NI MTAZAMO TU KAKA, NAJUA NI JOKE LAKINI HII INAGUSA WENGI, UZALENDO KWANZA.....AU SIO??

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 06, 2007

    It's real fun, joke yenye ukweli mtupu ndani yake. Good one indeed.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 06, 2007

    Yeah, ni joke lakini haijatulia hasa tukiweka suala la Uzalendo mh, Michuzi hii hukutakiwa kuipost kabisa. Sidhani kama kweli Watanzania tupo hivyo, ni basi tu yeyote yule aliyeianzisha kwanza kwa kusema "African's" ni kutaka kutu-undermine kuliko hali halisi. Imenigusa na sijaipenda kabisa. Is there any way ukaiondoa hapa kabla haijaonwa na wengi? If possible please do that..........Oh poor tanzanian, mbona tunataka kujiabisha wenyewe sasa jamani?Remove this joke or whotever you call it Michuzi, pleaseeeeeeeeeeeeee!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 06, 2007

    It's a complement.So do you want us (Tanzanians) to be terrorists???
    Tunachelewa kwa sababu hatuna stress, tunapenda kuzungumza na kila mtu tena kwa sauti bila umbea,tunapenda kujumuika na wenzatu ndo maana tungepiga picha pamoja,tunapenda pia kujaribu (jambo zuri)ndo maana wote tungetaka kurusha hiyo ndege.Huu ni upendo na umoja wetu,ndo tuna amani moyoni pamoja na umaskini wetu..maneno yenu hayatatukatisha tamaa.Nyie waigeni wazungu,mnafikiri wana maisha mazuri...wanatutamani sana,basi tu!
    Keep up my fellow wabongo!

    ReplyDelete
  8. Pleople! Dont U know the meaning of a joke? this is just for laughs...the same way we say 'mchaga hata kama yuko full Kaput kwenye oparesheni akisikia mkasi ukianguka anaamka na kudai ni shillingi yake imedondoka! it just a joke!period.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 07, 2007

    nyie viumbe,you cant take a joke jamani?it's called satire,pun,joke.vipi mnakuwa on the defense wakati wote.yani kama vile mnasubiria ataposti nini ili mumchambue.jeez!lighten up,people!

    na muangalie ze comedy show ndio mtachonga zaidi!sheesh!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 10, 2009

    Ha hahahaa,that was really funny! you just described weusi wa hapa US of A,wajameni it's just humor guys,ain't nobody gonna hold you against it,kweekwekwe.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...