Home
Unlabelled
nkwanga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
michuzi wewe mali kweli. kuna watu wengine tulikua tunawasikia tu kwenye radio na sauti za nzuri. bora tunawatia machoni.
ReplyDeletemiaka ya 90 kwa kuwa picha nacamera zilikua sio nyingi. ukikutana na hawa watu ilikua hata sio rahisi kuwatambua.
sasa hivi mtu hujifichi watu watakufahamu tu
jana nilikuwa na hilari akaniambia anaomboleza mpenzi wake wa zamani henzi wakiwa shule,chufupa ndio mahana ameniambia atavaa kila kitu cheusi lakini ni poa
ReplyDeletehongera chaaaaz,suti imekukaa vizuri utadhani ulizaliwa nayo!
ReplyDeleteKumbe huyu bwana Charles Martin Hillary anaitwa Nkwanga? Asante sana bwana Michuzi manake nilidhani huyu bwana hana jina! Ntu wa Ntwara huyu, au siyo?
ReplyDelete