chaaaaaz hiraly nkwanga akila stori na bosi mshana wa tvt

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 28, 2007

    michuzi wewe mali kweli. kuna watu wengine tulikua tunawasikia tu kwenye radio na sauti za nzuri. bora tunawatia machoni.

    miaka ya 90 kwa kuwa picha nacamera zilikua sio nyingi. ukikutana na hawa watu ilikua hata sio rahisi kuwatambua.

    sasa hivi mtu hujifichi watu watakufahamu tu

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 29, 2007

    jana nilikuwa na hilari akaniambia anaomboleza mpenzi wake wa zamani henzi wakiwa shule,chufupa ndio mahana ameniambia atavaa kila kitu cheusi lakini ni poa

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 29, 2007

    hongera chaaaaz,suti imekukaa vizuri utadhani ulizaliwa nayo!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 29, 2007

    Kumbe huyu bwana Charles Martin Hillary anaitwa Nkwanga? Asante sana bwana Michuzi manake nilidhani huyu bwana hana jina! Ntu wa Ntwara huyu, au siyo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...