Home
Unlabelled
asanterabi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera sana,salam nyingi kutoka birmingham
ReplyDeleteBabao,
ReplyDeleteHongera sana. Naona umekamilisha masomo yako kama ulivyodhamiria.
Sasa vipi? Bado una ule mpango wa kuja huku Jep?
Kaka yako wa JP.
Aisee Asante hongera mzee
ReplyDeleteCongrats bro!!! Its so amazing kwa jinsi vijana tunavyojituma siku hizi. Ombi ni kwamba mrudi kulitumikia taifa labda mtaleta maendeleo. Michuzi asante kwa hiyo picha imenikumbusha class yangu ya Oysterbay, asanterabi alikuwa mdogo halafu mtundu sana..
ReplyDeleteHongera kaka kwa kumaliza masomo yako. Kama Michuzi kweli Mpakanjia anaumwa??? Yu hoi Muhimbili??? Nitashukuru sana ukijibu swali.
ReplyDeleteUstaadh Asante, hongera saana mwana. As usual you've done what you always do best "MSHUKO", very proud of you brother. Keep on aiming for the sky.
ReplyDeleteMMK
Kaka Hongera - Mshamma Jr
ReplyDeletedu product ya O/bay primary hii!!Kijana anapiga nondo huyu!!Kila la kheri nami sirudi bongo mpaka nimekamata gamba la pili!!Wabongo majanki tupige buku tukawang'oe akina Balali na sampuli nyingine zote za namna hiyo!!!Hongera Asanterabi,
ReplyDeleteO/Bay mate, UK
Babao sasa inabidi ukamilishe ikiwezekana Panda hadi Darini(PhD) kama Steel.Mshuko uendelee!Hongera sana ustaadh salamu toka kwa mzee Bozi.
ReplyDeleteNaona Vijana wa Mama Ng'ambi O/Bay Primary wanazidi kung'aa ndani na nje ya nchi...
ReplyDeleteJOAN umenikumbusha mbali sana kwa kulitaja jina la O/Bay. umenikumbusha enzi za shule za Halmashauri.
Hak-ya-nani, shule za halmashauri zilikuwa na raha zake enzi hizo.
Japo fimbo za walimu ndo zilikuwa zinanikera,dakika za majeruhi nilijenga usugu wa bakora za walimu. walimu wa O/Bay ninaowakumbuka akiina NyagaBona, Mwalimu Kipa, Mwalimu Bahati (wa Hisabati), Mama Ngole (mwalimu wa Kiingereza), halafu kuna yule mwalimu mzuri mzuri jina nimelisahau lakini alikuwa akiitwa Madonna.
mnamkumbuka yule mlinzi aliyekuwa akiitwa MCHAMBAWIMA... jamaa akijambishwa anaruka na kuwa mkali kama Shehe aliyelishwa kitimoto hadharani.
Good old days....
michuzi, ukipata nafasi jaribu kutembelea hizi shule za halmashauri. wengi wetu tumepitia huko na hatuna updates ya shule zetu. tutafurahi sana kupata ma-snepu ya shule zetu zilivyo sasa huko home.
Hongera sana kwa kugraduate - mdau wa bondeni
ReplyDeleteKaka michuzi hongera sana kwa kututumia picha za maendeleo ya wabongo huko ughaibuni hasa katika maswala ya elimu. keep it up the good work. tunawaomba wakumbuke kurudi nyumbani kusaidia nchi yao
ReplyDeleteDuh! Mshikaji anaitwa AsanteRabi? Hongera Asante Mola!
ReplyDeleteCOOOK Tebrikler abi.Mtoto wa nyoka ni nyoka.Nyoka azai mjusi.Mwana huyu kawatesa Mabata(waturuki) vibaya sanaa kuanzia 1st degree hadi 2nd degree.Saluti broo.Nasi watutia moyo wabongo wengine kwa mfano wako huu.
ReplyDeleteMwanao kimz
Asante aka Babao HONGERA SANA!!!
ReplyDeleteYani kama nawasikia vile jamaa wanayoshangilia hapo..baada ya mtangazaji kutangaza jinsi ulivyopasua pasua vibaya SANA
iste boyle abicim.TEBRIKLER! kushangaza mabata.
ReplyDeleteMLUGA
Anon@ 4:24pm
ReplyDeleteGood memory, umekumbuka mpaka majina ya walimu? we kweli ulikuwa mwanafunzi bora! kwa nini mlimwita mwalimu madonna? any specific reasonz? N'wayz yote tisa, kumi... MCHAMBAWIMA?
I love swahili!
Hongera sana kaka kwa ku-gradueti! yap! you should (Phd) panda hadi dalini or pull heavens down, ili ujue zaidi hata vilivofichika huko juu.
Congrats!
mbona hatuoni picha za wasicha....hey jamani mpooooooo
ReplyDeleteonyesheni nyundo senu au kama ndio mpenda mpaka darini mtuchungulie chini kidogo tu jamani tuwaone
MBona kama ukumbi wote wako eksaitedi ,ni kwa sababu wana mshangaa huyu mweusi kuchukua hiyo digirii, au sababu ana vutia?
ReplyDeleteObay wow sijui nianzie wapi , yani those were dayz, nikikumbuka kitenesi na lile chuma kule sijui madarasa ya tatu, ambako maji huwa yana jaa wakati wa mvua ,so tuna panda lile chuma kucheza kidali po.
Nakumbuka kina Mwal Kazoza,Liwali,Apson,KIpa,Ngole,Musya,Manguku,Temba,Nchimbi,Bombuli,MUzoh,Toroka(Marehemu),Shayo,Kitipwi,Mbwambo,Kadebe(beutiful),Omary,Nyangabona,Kulwa,Shigela,Mihayo,Lubuva,Kirigini,Sichembe,Nyoni,Masanja,Musikula,(Marehemu),Kashaga,Mwamanga,Kikove,Bonda,Ngambi(Marehemu),Ng'osha, na wengine wengi!
I am very very proud of you! you are so gorgeous!!!!! the picture it self says it,doen't it?.Huyu (Asanterabi)ni mashine kubwa kabisa msidhani ni mchezo, kama hamuamini ingieni hapa http://www.sabah.com.tr/2005/06/28/gnd119.html afu katafute dictionary ya kituruki mtajua aliwafanya nini Waturuki mwaka 2005 (alipomaliza first degree) na aliipeperusha vipi bendera ya TANZANIA uturuki!(Nazar değimesin) seninle gurur duyuyorum abi
ReplyDeletehongera sana Asante!!!
ReplyDeleteNakuaminia kaka. Endelea kukamua. Chukua hadi PhD ya Mechatronics uje uintroduce Bongo hiyo field kaka.
Inafurahisha kuona wana O'bay mmetuma msg kemkmem kumpogeza mwenzetu. Safi sana... natumai wote mnaendelea kupiga bao kisawa sawa wherever u r. Asanta toka primary alikuwa anatisha. Infact mwaka wao wote walikuwa vichwa.. kina Swere, Kija, Sekwao, Mgulu, Tumaini, etc!!
(class of 92). Walituinspire na sisi kufanya mambo kwa kwenda mbele !!
well done bro.we real appreciate for what u did.inshallah mwenyezi mungu akupe wepesi zaidi katika masomo yako kama wafikiria na kukamua na hiyo ya
ReplyDeletephd.kwa kile ulichokipata kiwe basi faida ya jamii yetu changa ambayo bado ipo katika wimbi la umaskini.jamii ifaidike na kile ulichokipa hapa uturuki.sir.buru upo kaka?.
well done bro.asanterabi
wise A.
Annony wa July 11, 2007 5:54:00 AM EAT
ReplyDeletenimeikubali Memory yako. Umetaja majina ya walimu amboa binafsi nilishayasahau kabisaaa.
hiyo habari ya chuma la kule karibu na nyumba ya mwl mkuu nalo pia limenikumbusha mbali sana. niliwahi kuanguka na kuumia vibaya ktk hilo chuma sitolisahau.
Nimekumbuka mambo ya kujiita LY "Last Year" ukiwa darasa la saba.