Home
Unlabelled
bora
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyu jamaa mwenye tai.Surualiyake si mchezo
ReplyDeleteHahahahaha,braza michuzi umenifurahisha sana na hii picha!Duh,jamaa hapo ana bonge la bwanga si kitoto.Umenikumbusha mbali sana maana kuna bwanga langu moja alinipa dingi nimelikumbuka sana itabidi nilipige siku moja mtaani.
ReplyDeleteSafi sana braza michuzi kwa kutukumbusha mambo mazuri,tena na wakati huo wa ujamaa inabidi uagize bia mapema kabla hazijaisha na ukionekana unakunywa sana unahisiwa muhujumu uchumi.Hahahaha,acha tuipende Tanzania yetu imetutoa mbali sana!
JUU NIBANIE...CHINI NIMWAGIE...
ReplyDeleteAaah, Michuzi shukrani kwa kutukumbusha enzi yetu ya mabugaluuu!
ReplyDeleteenzi hizo hiyo suluari ilikuwa maalufu kwa jina la buga(bugaloo)
ReplyDeleteoooooooh what a year!!!!11
ReplyDeletebuga hilo mwanangu,akipita huyo lazima asfishe brbr!
ReplyDeleteWajameni, mbona mmesahau AFRO ya huyo dada mosi.
ReplyDeleteHalafu kuhusu mabugaluu, hata leo nenda Lugalo jesini halafu awaambie askari wavae kiraia. Utaona raizoni na mabuga kwa kwenda mbele.
Jafar
Nyie ndio hamuoni kabisaa!?, yaani mnataka kuniambia kwamba hamuoni hizo "Teremka tubonge" maarufu kwa "Raizoni" hayo "mabwanga" shurti yavaliwe na viatu vya staili kama hiyo ndio maana mnamouna jamaa anaelea angani mnafikiri mrefu kumbe wapi!! angalieni vizuri eboo !!!
ReplyDeleteKubwa
Licha ya hiyo bwanga,Mosi Ali alikuwa mtoto mmoja moto sana wakati huo.Mimi nilimuusudu sana!!.
ReplyDeleteWEE Ri-jafari wa 10:30 unachezea geshi ee? KWENDA CHINI...!! teh teh teh.....
ReplyDeleteJamani hiyo pecos tena! Unaweza kutoa suruali mbili. Asante kaka Michuzi kwa kuongeza ukubwa wa herufi maana wengine wazee sasa, herufi ndogo zatuumiza macho.
ReplyDeleteMheshimiwa ISSA INASEMEKANA UMBILE LAKO NA HUYU MHESHIMIA HALINA TOFAUTI KUBWA..LAKINI MKIENDA PIMISHA SURUALI MITA ZENU SAWA SAWA SASA WEWE KITAMBAA CHAKO KILICHOBAKI KINATUMIKA VIPI KAKA..
ReplyDeleteWallahi kaka umetukumbusha enzi hizo, viatu vya aina hyo vilipatikana BORA shoes na bei yake tsh 999.Those were the days.
ReplyDelete