mwanariadha nyota wa zamani wa taifa mosi ali akiwa na mzee saria ambaye anasema alimsaidia sana katika kumfundisha riadha miaka ya 70 na 80 kiasi akawa bingwa wa taifa wa mbio fupi na kuwakilisha nchi kwenye olimpiki mwaka 1980 huko moscow

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 10, 2007

    Duh,

    Hii afro ya dada tatu imeenda wapi?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 11, 2007

    Kaka Michuzi eti nasikia hawa wakina dada siku hizi kuna sabuni wanapaka kwenye ma-hips kwa ajili ya kuyafanya yawe makubwa. Eti ni kweli?
    Mbona Huyu Dada Mosi picha zake za zamani hapo juu alikuwa hana mahips mengi lakini sasa hii ya sasa hivi anaonekana ana mahips mengi?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 11, 2007

    kwa hiyo kwa sasa na " ma hips " mangapi ? tupe namba tuweze tafakari na calculate .

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...