tamasha la filamu la nchi za majahazi ama ziff limepamba moto zenj ambapo wadau kibao wanajitokeza ngome kongwe kuangalia shoo mbalimbali ikiwa ni pamoja na filamu kibao za afrika

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 05, 2007

    Mbona pamechoka choka hivi

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 05, 2007

    Huyu jamaa anaitwa John Mnamba...nilisoma naye pale UDSM...He's friendly and a joker too...naone amekwiva kisawasawa...utapasuka mazee...shavu hiha jo...

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 05, 2007

    Anony July 5th 9:08:00 AM; hii ni moja ya sehemu zilizokukuza kufikia hapo ulipo, je umefanya nini kulipa fadhila? Inabidi tu-appreciate tulipotoka hata kama ni porini. Kwenye hii picha kuna wazungu ambao wako "comfortable" na wanafurahia kuwa hapo Ngome Kongwe, wakati wewe mzawa unaona pamechoka. Ni lini tutakuwa proud na nchi yetu au na asili yetu? If we think that we have succeeded, let's give back to the community instead of being against ya kila kitu kilicho nchini kwetu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 05, 2007

    jamani kuuliza si ujinga haya maonyesho ya sinema ya zanzibar yan manufaa gani kwa wanasinema wa tanzania mwenyekujua tafadhali naomba anifahamishe

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 06, 2007

    Anon July 5,3:09 PM kwani nilikwambia ujibu au mimi nimesema kwa mtazamo wangu pamechoka ujauliza pamechoka vipi hivi mbona kuna mijitu inamifisa haya pendi kufikiria kuropoka tu jaribu kutumia sehemu yako kubwa ya akili kwa kufikiri kidogo.
    Thanx
    Akili Nyingi

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 06, 2007

    MUHESHIMIWA AKILI NYINGI NAKUUNGA MKONO

    MIMI NI MZANZIBARI HALISI ILA NASEMA HIVI HIYO SEHEMU IMECHOKA, HIVYO SERIKALI HIYO YA ZNZ INASHINDWA HATA KUTI UZIO KATIKA ILE KANDO KANDO YA BAHARI?? PILI TAA ZA BARABARANI HAMNA YAANI MFANO MTAA WA DARAJANI AMBAPO NI MJINI KWA ZNZ PAKO KAMA KIJIJINI!!! BASI HAMUEZI KUIGA HATA NDUGU ZETU WA BONGO... WANAIBA WEEEEEEEEEEE LAKINI BAADAE UTAONA TWIN TOWERS.........

    RAFIKI YAKE AKILI NYINGI

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 07, 2007

    Anony wa 6.01PM, Zanzibar International Film Festival (ZIFF) inasaidia si tu wanacinema bali jamii nzima ya kitanzania kujuwa culture za watu wengine, kujua vitu mihimu vimavyogusa maisha ya wenzetu. It is a mind broadening experience that does encourages Tanzanians to have analytical minds through analysis of various elements in life which we, in Tanzania, may not be accustomed to. There's more to life out there than what we know over here - and this is an excellent opportunity to expose that.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 07, 2007

    Hivi michuzi mbona unanibania msg zangu lakini
    by
    Akili nyingi

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 09, 2007

    JAMANI JOHN UKO WAPI CKU HIZI DEAR?NAKUKUMBUKA SANA WEWE PAMOJA NA MONIKA NA WAGAA JAMANI MIMI JIRANI YENU NIMEWAMIS SANA DUU!MIS U MUCH.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...