Home
Unlabelled
majahazi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mbona pamechoka choka hivi
ReplyDeleteHuyu jamaa anaitwa John Mnamba...nilisoma naye pale UDSM...He's friendly and a joker too...naone amekwiva kisawasawa...utapasuka mazee...shavu hiha jo...
ReplyDeleteAnony July 5th 9:08:00 AM; hii ni moja ya sehemu zilizokukuza kufikia hapo ulipo, je umefanya nini kulipa fadhila? Inabidi tu-appreciate tulipotoka hata kama ni porini. Kwenye hii picha kuna wazungu ambao wako "comfortable" na wanafurahia kuwa hapo Ngome Kongwe, wakati wewe mzawa unaona pamechoka. Ni lini tutakuwa proud na nchi yetu au na asili yetu? If we think that we have succeeded, let's give back to the community instead of being against ya kila kitu kilicho nchini kwetu.
ReplyDeletejamani kuuliza si ujinga haya maonyesho ya sinema ya zanzibar yan manufaa gani kwa wanasinema wa tanzania mwenyekujua tafadhali naomba anifahamishe
ReplyDeleteAnon July 5,3:09 PM kwani nilikwambia ujibu au mimi nimesema kwa mtazamo wangu pamechoka ujauliza pamechoka vipi hivi mbona kuna mijitu inamifisa haya pendi kufikiria kuropoka tu jaribu kutumia sehemu yako kubwa ya akili kwa kufikiri kidogo.
ReplyDeleteThanx
Akili Nyingi
MUHESHIMIWA AKILI NYINGI NAKUUNGA MKONO
ReplyDeleteMIMI NI MZANZIBARI HALISI ILA NASEMA HIVI HIYO SEHEMU IMECHOKA, HIVYO SERIKALI HIYO YA ZNZ INASHINDWA HATA KUTI UZIO KATIKA ILE KANDO KANDO YA BAHARI?? PILI TAA ZA BARABARANI HAMNA YAANI MFANO MTAA WA DARAJANI AMBAPO NI MJINI KWA ZNZ PAKO KAMA KIJIJINI!!! BASI HAMUEZI KUIGA HATA NDUGU ZETU WA BONGO... WANAIBA WEEEEEEEEEEE LAKINI BAADAE UTAONA TWIN TOWERS.........
RAFIKI YAKE AKILI NYINGI
Anony wa 6.01PM, Zanzibar International Film Festival (ZIFF) inasaidia si tu wanacinema bali jamii nzima ya kitanzania kujuwa culture za watu wengine, kujua vitu mihimu vimavyogusa maisha ya wenzetu. It is a mind broadening experience that does encourages Tanzanians to have analytical minds through analysis of various elements in life which we, in Tanzania, may not be accustomed to. There's more to life out there than what we know over here - and this is an excellent opportunity to expose that.
ReplyDeleteHivi michuzi mbona unanibania msg zangu lakini
ReplyDeleteby
Akili nyingi
JAMANI JOHN UKO WAPI CKU HIZI DEAR?NAKUKUMBUKA SANA WEWE PAMOJA NA MONIKA NA WAGAA JAMANI MIMI JIRANI YENU NIMEWAMIS SANA DUU!MIS U MUCH.
ReplyDelete