Brother Issa,
Hapo nipo kwenye Global Forum Vienna wiki iliyopita na Former Prezdaaa of Nigeria mzee Yakubu Gowon. Kama unakumbuka ndiye aliyeiongoza Nigeria katika kipindi kile cha vita vya Biafra, bila ajizi nilimuuliza "On Nigeria's Reasons for Fighting?" na jinsi ilivyokuwa. Na haya ndiyo yalikuwa majibu yake:
"We did not take the Ibos as our enemies; they are our brothers. As far as I am concerned, we fought a war to keep the country one and united. I therefore cannot afford to be callous in the way we prosecuted that war. The most challenges we had, was to think of the problems of reconstruction, reconciliation and winning the heart, in order to have a happy country in the end. It was not just easy thing to say, Precisely, we will call them enemies, and we will fight them as enemies." But then, to be honestly, it would remain with us and embarassing the future of our nations."

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 28 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 05, 2007

    Dogo naona unaendeleza mapambano, sisi wana Jitegemee, tunakutakia kila la kheri.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 05, 2007

    kaka nakukubali ,,aminia sana..

    ila umeuchuna tena ghafla vipiii???

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 05, 2007

    Duh! wenzio wakipata nafasi kama hizo huwa wanaulizia madili na jinsi gani ya kuwasaidia wazee kama hao kusafirisha petrodolars. Hapo mwanangu usingeleta siasa wewe ungempa dili tu huyo mzee.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 05, 2007

    Eehh bwana huyo jamaa alikuwa mbishi. Namkumbuka nilisoma naye Kigurunyembe, kama sikosei alikuwa akiitwa Dube au Davis. Hongera ndugu yangu kwa matawi ya juu. tuwasiliane email yangu ni hans@gmail.com Tukumbushane enzi zile za mzee Mkwidu.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 05, 2007

    Kijana mikutano mikubwa kiasi hicho, hata kuniga tai? hapo enzi zetu lazima unakung'uta tai ili iendane na koti.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 05, 2007

    Vita ya Biafra wabongo naona tulijitoa kimasomaso kumpiga tafu General Ojwukwu. Hivi huyu mtu bado yupo? na anafanya nini kwa hivi sasa?
    Mdau tunashukuru na tumefarijika sana kuwa angalau umemuuliza huyo mzee swali la msingi sana, sijui kwa nini Waafrika tunapenda kuuana.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 05, 2007

    Michuzi,
    Ulisema huoni watoto wa Chelsea,huyo ni mtu wa chama letu hapa Chelsea. Naona sasa tumeanza kukutumia salamu. Chelseaaaaaaaaaaaaaa hoyeeeeeeeeeeeee.
    BONGO FC

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 05, 2007

    Naona machizi wako kina Magonela, Chacha, Raymond, Fide, Ezza, Wax, Waga wapo hapo kiwanjani wanakenua.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 05, 2007

    Huyo ni nani tena Bro. Misupu ????? Mbona sisi wana BLOG wazoefu wala hatumfahamu ???? Tuambie ni nani kabla hatujampa PONGEZI au ........ !!!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 05, 2007

    Haya bwana Denis Londo tumekuona,sisi tupo tu huku Finland.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 05, 2007

    Vipi huyo mzee ameshakupa dili jinsi gani ya kutumia pesa za rushwa? manake Wanigeria kwa rushwa hawajambo.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 05, 2007

    Jamaa ameiva utafikiri sio Mbongo, endeleeni kutuibia pesa zetu kwa kisingizio cha conference alowance.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 05, 2007

    Ukitaka kujua upeo wa Watanzania soma MICHUZI

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 05, 2007

    Aaaah Londo babake vipi kichaa wangu mwanangu! mjukuu wako Sangu Sangu nipo ndani Houston. Rudi home kunalipa siku hizi babake, si ulishasikia Massawe kashakuwa DC Kinondoni.Hapa, nasubiria kiinua mgongo halafu kwanja kubwa Minazi mirefu Kipawa babake.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 05, 2007

    Perez
    huyo dogo mmoja anaitwa Davis Londo,usiogope mwili dogo sana huyo. Nakumbuka wakati namaliza Six Jitegemee mwaka 1998 yeye alikuwa form Five pale. Anyway Hongera dogo tuwakilishe.

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 05, 2007

    Wee anonymous hapo juu, sio kila mtu anakula posho za wabongo.Huyo mshikaji tupo naye huku Finland, hakai Bongo wala hana uhusiano na walaji wa pesa zetu Bongo.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 05, 2007

    Ungemuomba ushauri juu ya nini cha kuwafanyia Wazanzibari kwani nao wanataka kule za Waibos. Huyu Gowon anaweza akawa consultant mzuri sana wa mgogoro wetu wa muungano.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJuly 05, 2007

    Usibane sasa wape dili washikaji zako kina Ally Mayai na kina Njohole wenzio life linawakataa na waliendekeza mpira sasa umri unawatupa mkono.

    ReplyDelete
  19. AnonymousJuly 06, 2007

    ohh wewe hongera sana jamaa yangu.

    ReplyDelete
  20. AnonymousJuly 06, 2007

    Nakuona shem, vipi shoga yangu bado upo naye au zilikuwa enzi za shule tu?

    ReplyDelete
  21. AnonymousJuly 06, 2007

    Mwanzo mzuri huo kijana, jitahidi tu ila onyo; usiige wenzio longo longo nyingi vitendo kidogo.

    ReplyDelete
  22. AnonymousJuly 06, 2007

    Masela wako ndani ya Texas tunakupa tano, hi nyingi kutoka mzee mwenyewe Ndonde, Chande na wa mizuka Gregory.

    ReplyDelete
  23. AnonymousJuly 06, 2007

    Baba Caldinary Pengo mwenyewe!yaaap Aminia kichaa wetu. Mambo vipi lakini? upo mitaa ya wapi kwa sasa? mshikaji Halifa bado upo naye kwa sasa? tuwasiliane basi jamaa yangu; E-mail yangu sajokiss@yahoo.co.uk

    ReplyDelete
  24. AnonymousJuly 06, 2007

    Jamani nyie, upo wapi siku hizi wewe kaka? kweli dunia ndogo naomba umpe email yako au namba ya simu Ms Harrington,ili tuwasiliane, kama unanikumbuka Monica nilikuwa nasoma Manchester University ulipokuja kufanya internship.

    ReplyDelete
  25. AnonymousJuly 06, 2007

    Hii sura inaishi Denmark, au ndio kama waswahili wanavyosema binadamu wawili wawili, lakini I'm sure hii sura inaishi Denmark na sio Finland kama wadau wanavyosema hapo juu.

    ReplyDelete
  26. AnonymousJuly 06, 2007

    Michuzi,
    Unaonaje ukirudisha ule mjadala wa vazi la taifa, si unaona hao jamaa wa West wanavyotuzidi kete. Miaka 45 ya Uhuru bado hujatoka rasmi bila suti!

    ReplyDelete
  27. AnonymousJuly 09, 2007

    Mkulu!

    Waka kama moto wa TIPER usiozimika kiangazi wala masika!
    Songa mbele kama saa, muda na wakati visivyosimama milele!

    Kwa taadhima, hekima, heshima na taaluma ulizonazo ningewafahamu wahusika ningewatumia wasifu wako na kuwavumbulisha johari na kito adimu kilichomo ndani yako kwa manufaa ya taifa letu na dunia kwa jumla.

    Namuomba subuhana mwingi wa rehema akuzidishie siha ya mwili na akili.

    Masalaamia, ni miye nduguyo.

    ReplyDelete
  28. AnonymousJuly 10, 2007

    Mkulu Mtimkubwa,
    Naamini tunu iliyomo ndani yako na fahari tuliyo nayo wachache tunaokufahamu, naamini sitakosea nikisema tumebahatika kukufahamu na kukujua. Hakika maneno uliyoandika yamenigusa naamini ni changamoto.
    Nduguyo
    Mavuto

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...