huyu mdau leo nimemkuta na ramani yake mitaa ya bilikanaz akitafuta posta mpya...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 03, 2007

    Nadhani huyu jamaa ni Maggid Mjengwa, anatafuta posta mpya kwa kutumia ramani?

    Halafu unataka kutuambia kuwa siku hizi kuna ramani inayoonyesha mitaa ya Dar? Yaani hata Manzese uzuri?

    Halafu nadhani hayo magazeti yaliyoko kwenye boksi hapo chini yametupwa. Si ni wewe Michuzi uliyetuambia kuwa siku hizi jiji ni safi hakuna uchafu; sasa huoni kama hayo magazeti hapo ni uchafu pia?

    Halafu hilo jumba hapo naona kama halijapigwa rangi wala kusafishwa kuta zake tangu wakati wa mkoloni.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 03, 2007

    Michuzi, humu kuna waosha midomo, sasa, kwa nini hao Tanzanite CRDB wasiweke disclaimer "wanasponsor ila maoni ya humu haya reflect position yao". Ni hayo tu, otherwise nakuhongeresha tu.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 03, 2007

    We Mejngwa hebu rudi kijiji kwako maana unatafutwa huonekani. Wanakiji tunajuwa upo mikoani kuelimisha watu kumbe we unazulula mjini na mukasini ya

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 03, 2007

    Kumbe dar inapoteza

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 03, 2007

    Dar bora uende na kichwa kichwa na kuuliza watu hiyo ramani si itamfikisha mbagala badala ya posta mpya?


    lakini ukiangalia google map hii version yao mpya unaona mji wa dar barabara zina majina ingawaje sio zote lakini ndio hivyo polepole

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 03, 2007

    Mpe pole sana majjid kaangusha kemera yake sasa ipo kwa fundi nafikiri alikuwa anatafuta fundi mwingine posta mpya kwa ramani. Maana ile ndio kalamu ya blog.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 04, 2007

    Wewe Magidd umeaga kwa mjumbe wa shina wakati unakuja mjini? hebu ludi kijijini mjini hapakufai...

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 04, 2007

    ha ha ha ! michuzi bana, acha uchokozi ! ....e bana ulikuwa anatafuta fundi wa kamera nini? ....just kidding, i know you know i know , smile !

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 04, 2007

    Mara hii hamkuenda makumbusho kula wali maharagwe?

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 04, 2007

    We kaka Michuzi acha kumzalilisha swahiba wetu Majidi kwali kapotea njia mwambie aje mtaa wa Jamhuri kwa wake zake tumwonyeshe njia ya kwenda Post mpya ha haaaaaaaaaaaaaaaa Begi la Lap top kalitupa wapi na Kamela???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...