Home
Unlabelled
mdau
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nadhani huyu jamaa ni Maggid Mjengwa, anatafuta posta mpya kwa kutumia ramani?
ReplyDeleteHalafu unataka kutuambia kuwa siku hizi kuna ramani inayoonyesha mitaa ya Dar? Yaani hata Manzese uzuri?
Halafu nadhani hayo magazeti yaliyoko kwenye boksi hapo chini yametupwa. Si ni wewe Michuzi uliyetuambia kuwa siku hizi jiji ni safi hakuna uchafu; sasa huoni kama hayo magazeti hapo ni uchafu pia?
Halafu hilo jumba hapo naona kama halijapigwa rangi wala kusafishwa kuta zake tangu wakati wa mkoloni.
Michuzi, humu kuna waosha midomo, sasa, kwa nini hao Tanzanite CRDB wasiweke disclaimer "wanasponsor ila maoni ya humu haya reflect position yao". Ni hayo tu, otherwise nakuhongeresha tu.
ReplyDeleteWe Mejngwa hebu rudi kijiji kwako maana unatafutwa huonekani. Wanakiji tunajuwa upo mikoani kuelimisha watu kumbe we unazulula mjini na mukasini ya
ReplyDeleteHa
ReplyDeleteKumbe dar inapoteza
ReplyDeleteDar bora uende na kichwa kichwa na kuuliza watu hiyo ramani si itamfikisha mbagala badala ya posta mpya?
ReplyDeletelakini ukiangalia google map hii version yao mpya unaona mji wa dar barabara zina majina ingawaje sio zote lakini ndio hivyo polepole
Mpe pole sana majjid kaangusha kemera yake sasa ipo kwa fundi nafikiri alikuwa anatafuta fundi mwingine posta mpya kwa ramani. Maana ile ndio kalamu ya blog.
ReplyDeleteWewe Magidd umeaga kwa mjumbe wa shina wakati unakuja mjini? hebu ludi kijijini mjini hapakufai...
ReplyDeleteha ha ha ! michuzi bana, acha uchokozi ! ....e bana ulikuwa anatafuta fundi wa kamera nini? ....just kidding, i know you know i know , smile !
ReplyDeleteMara hii hamkuenda makumbusho kula wali maharagwe?
ReplyDeleteWe kaka Michuzi acha kumzalilisha swahiba wetu Majidi kwali kapotea njia mwambie aje mtaa wa Jamhuri kwa wake zake tumwonyeshe njia ya kwenda Post mpya ha haaaaaaaaaaaaaaaa Begi la Lap top kalitupa wapi na Kamela???
ReplyDelete