DEWA (DUBAI ELECTRICITY AND WATER AUTHORITY) KAMPUNI INAYOSIMAMMIA MASWALAYA UMEME NA MAJI NA HAO NI NYOKA NA MAMBA AMBAO WALIKUWA NDANI YA MABOMBAAMBAYO YALIKAA KWA MUDA MREFU YAKISUBIRI KUFUKIWA CHINI KWA AJILI YAKUPITISHA MAJI, HAPO NI HATTA-DUBAI, UAE.

SCISSOR-DUBAI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 08, 2007

    this looks like bongo too..

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 09, 2007

    Michu;;;;;;;;;;;;;;

    Hii sasa wanakudanganya!!!!!!!!!!

    Hii picha tumeshaona miaka ya nyuma.

    Na hapa ni bongo kabisa maana hata ukimwangaangilia huyo mtu hapo pembeni ni mbongo kabisa.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 09, 2007

    KUDADAKE!,
    we Misupu haya sio mambo ya Adobe?

    Duh, hiyo ya ma-snake inatisha..

    sasa pata picha walami wanakutosa ktk hilo bomba lenye ma-snake. nini utafanya

    inatisha!...

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 10, 2007

    Michuzi hiyo sio Dubai jamaa wanakudanganya. Hiyo picha ilipigwa maeneo ya Maganzo Shinyanga wakati wale makaburu wanajenga barabara ya Nzega/shinyanga/mabuki na ninazo picha alizopiga bosi wangu maeneo hayo. Nitakutumia kwenye email yako binafsi. NZAGAMBA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...