Home
Unlabelled
pededjee
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ee Bwana ndioooo!!!, huyo PDG si mchezo, napenda watu kama hao wanaoanzisha fashion zao wenyewe.Naona anafaa kuwa designer.
ReplyDeleteNikiwa kama mmoja wa wanablog wako mashuhuri naomba kusema kitu kimoja kwamba hawa watu wa ajabu ajabu unawatoa wapi? maana hii si mitindo ya nguo bali ni ujinga,mtu utvaaje namna hiyo halafu unatembea mitaani,kama ujui saizi yako ya nguo na uzee wote huo basi lazima utakuwa chimedi(mpendawazimu)
ReplyDeleteKulaleeki walahi.. enzi hizooo wakati wazaire wamevamia nchi.. du jamaa bado analo tuu!!! Papaaa mukulu kulu...!!
ReplyDeletedu bro umetoka mchicha kichizi u luk kama umetolewa milembe leo
ReplyDeleteNaomba umpige picha kwa nyuma ili tuone upededjee unaonekana vp kwa upande pinzani wa mbele.
ReplyDeletehuyo amebakiza siku chache tu ajifungue. mtafutieni japo mkunga wa jadi awe anam-monitor!
ReplyDeleteHahahahahahahaaaaaa!!! we Michuzi una utani na mbavu zangu wallahi!! Kha! aisee huyu jamaa kaniacha hoi babake!! Mwenyewe anajivinjari mtaani hana hata wasiwasi hahahahaha!! Its really Funny!!!
ReplyDeleteCheers Michuzi!
Hii haihusiani na huyo "pededjee" pichani. Lakini inafaa sana kumtumia aangalie kwa makini mipango ya mikataba miwili ya uranium yetu na wawekezaji kutoka nje.
ReplyDeleteMpango wa Kwanza:
Mantra Resources Announces Acquisition of Additional Uranium Tenements in Tanzania Wed July 25, 2007, 9:48 am
Original Announcement: Acquisition of Additional Uranium Tenements in Tanzania Mantra Resources announced that it has entered into agreements to acquire interests in a package of six uranium exploration tenements within the Bahi catchment area in central Tanzania. Under the terms of the first agreement, Mantra will enter into a JV with a Tanzanian partner and acquire a 95% interest in four prospecting licences covering a total area of approximately 770 sqkm. Under a second agreement, the company has purchased outright, two adjacent prospecting licences covering an additional area of 340 sqkm.
More information about MRU.AX
Mpango wa Pili:
Atomic Signs Letter of Intent to Acquire Over 2800 Sq. Kilometers of Uranium Property in Tanzania
Wednesday July 25, 9:30 am ET
VANCOUVER, BRITISH COLUMBIA--(MARKET WIRE)--Jul 25, 2007 -- Atomic Minerals Ltd. (CDNX:ATL.V - News)(Frankfurt:M7J.F - News) ("Atomic" or the "Company") is pleased to announce that it has signed a letter of intent (the "LOI") with Geo Can Resources Company Ltd. ("Geo Can") to enter into an option agreement to earn the right to acquire up to a 90% interest in a land package totalling approximately 2800 square kilometres located in the United Republic of Tanzania (the "Property"). Atomic paid Geo Can a non-refundable deposit of US$65,000 on execution of the LOI. The two companies have agreed to negotiate a definitive option agreement (the "Option Agreement") by September 14, 2007 subject to the results of Atomic's due diligence on the Property (including the preparation of a title opinion) and TSX Venture Exchange ("TSX-V") approval.
Sasa hapo shati lina kazi gani?
ReplyDeleteKUBWA JINGA.....
ReplyDeletemichu unaboaaaaaaaaaaaaaaaa kwa mapicha yako ya graduesheni kila leooooo,acha kuwa BWEGE. kama unalipwa na hao kutoa mipicha yao basi fungua blogu jipya la mahafali! dnt be stupid man,kuna vitu vingi vya kuweka
ReplyDelete"MHUU NO COMMENTS..........."
ReplyDeleteKUNA WATU HAPO HAKULIKI HAKULALIKI KWA HUYO JAMAA......
UTAKUTA KAMSHIKIA MTU KIUNO " NASIKIA UNATEMBEA NA MY BOYFRIEND WANGU " -JUU YA HUYO JAMAA DUUH!!!!
SIJUI WATU WANAWAZAGA NINI???
Duuh pededjee kachokaa.
ReplyDeletehahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ReplyDeleteokaaay.. now that is jst ridiculous!!! huyo mtu mzima mbona anajiabisha??? uvaaji huo ndio unaotufanya tuonekane tuna masihara.. Dress code zetu mbovu sana... sasa hilo ni shati au "blauzi"??? au "kitopu" na hiyo suruali kuivalia hapo kwny matiti ndio tuseme alitaka kuvaa gauni kabisa au?? sielewi kwa kweli!!
ReplyDeleteteh..teh..teh..teh...michuzi huyo jamaaa umemtoa wapi....maana hiyo style inaitwa KUTUMBO..si mchezo............kama kitambi kimesafiri basi style hiyo haiwezekani.....
ReplyDeleteDuh hii style imetulia....jamaa kajikwatua si kitoto....huyu kwa vyovyote vile ni mcheza mayenu a.k.a NOMBOLOYASOLO....lol kitakachofuata sasa naona ni suluari za kufungia shingoni no need ta kuwa na shati hii ni katika kupunguza gharama za mavazi..hahahahahaha.
ReplyDeletekwikwikwi
ReplyDeleteMakarikenya yapo mengi. kwkwikwkiikwikwikwi
Huyo jamaa mzaire mwambie awe tayari na vitambulisho vyake.
ReplyDeleteJamaa wa uhamiaji wakimuona ni Dili.
Tehee teheeee.
Hizo suruali za Congo hazipendenzi!
ReplyDeletehuyu jamaa si mtu mzima kabisa???!!
ReplyDeleteDah huyu babu kapendeza lakini dah si angevalia hio suruali kwene maziwa kabisa? au tuseme mabegani kabegani haswa. mmmh au sketi ndio ingemfaa zaidi?
ReplyDeleteKwa Fashaa Ya Bana Kongo Tunatomboka Namna Hii Pana Cheka Bana Bongo... teh teh teh!
ReplyDeleteMimba? ...au ndio kumsaidia mama watoto kuibeba?...
ReplyDeletetoa ujinga wa kutuonyesha mtendaji wakijijini kwenu
ReplyDeletewe kama huna picha piga wanyama
Duuh jamaa amependeza sana yuko muchicha,mukulu unajongea city?big up bruv umependeza si mchezo.watoto hapo lazima wajigonge na wake za watu vilevile weee wacha tuu uko vizuri.
ReplyDelete".LAHAULA LAKWATA." HABARI ZA KIPIGA PICHA ISSA...NAONA MAMBO YA LOKASA YA MBONGO "..ETUTANA YANGO NA YANGO.." SASE BONSAAA...NIWATAALAMU WA "..KUPAKUWA.." WAKE ZA WATU BILA KUVUNJA NDOA..ZA WENYEWE..
ReplyDeleteIssa kwa asie na maoni bora asiandike chochote kuliko kutukana tuwe waungwana watanzania kwa kuzingatia maadili yetu mema
ReplyDeleteMICHUZI!! EEE BWANAAA EEE HUYU SIYO YULE KIJANA WA MISSOURI BENEDICT NICKY NIKUMWINIKA? AMEBADILIKA SANA ATAKUWA ANAKULA KISU CHA NGUVU HUKO BONGO? KAPENDEZA SANA LAKINI ANGE MECHISHA NA PULL NECK NA KUNYOA KIPARA...! MPE 5 BASI BWANA MICHUZI!
ReplyDeleteduuu uwezi kuamini huyo jamaa sala tano kila siku.
ReplyDeleteannon 9:06 PM, Tulia acha kupayuka! Michuzi lete vitu adimu hivyo! Big up for your nice job!!
ReplyDeleteJAMAA HUYO KWENYE PICHA MAISHA YAMEMSHINDA,LAZIMA ATAKUWA MSHONA NGUO,KWA KIFUPI AROSTO INAMSUMBUA!
ReplyDeleteHe must be a loyal fun of Shaquille O'neal. He has to wear his trouser. That's what we call a true-blue fun. Go ahead with your bad self!!!!!!
ReplyDeleteKuna hili kubwa jinga lililocomment upuuzi huu..
ReplyDeleteTarehe July 26, 2007 4:27:00 PM EAT, Mtoa Maoni: Anonymous
michu unaboaaaaaaaaaaaaaaaa kwa mapicha yako ya graduesheni kila leooooo,acha kuwa BWEGE. kama unalipwa na hao kutoa mipicha yao basi fungua blogu jipya la mahafali! dnt be stupid man,kuna vitu vingi vya kuweka
KAKA HUJALAZIMISHWA KUANGALIA BLOG HII BWANA WE KAMA UNAONA UNABOREKA ANGALIA BLOG NYINGINE SI LAZIMA YA MICHUZI BWANA ZIPO BLOG MBALI MBALI HATA ZENYE KUONYESHA MATUNDA ZIPO SO U CAN VIEW HIZO BLOG KULIKO KUJA KUTOA COMMENTS ZA KIJINGA HUMU NDANI, HAULIPII CHOCHOTE SASA UNACHOLALAMIKA NI NINI?? WACHA USHAMBA WE PUFU ALA
Watu wengine bwana,
ReplyDeleteNguo avae mwingine kuwashwa muwashwe nyie. Leteni picha zenu tuone mnavaaje
HUYU JAMAA AKITAKA KUTOA PESA MFUKO WA NYUMA ATATOAJE? ITABIDI APITISHE MKONO KARIBU NA SIKIO MPAKA MGONGONI HALAFU NDIPO ATAFANIKIWA,
ReplyDeleteKwa kweli inachekesha sana tu,hata wengine wachukie vipi... binadamu kama huyu wanahitajika duniani, la sivyo dunia itaanza kuboa!
ReplyDeleteJamaa naona ana save gharama za kitambaa cha shati! he he he
SteveD.
nyuma lazima kipwinto kimeingia, fashion nyingine za kibwege kweli loo!
ReplyDeleteHakuna nini wala nini!!! umependeza babaake!!! Umetoka chicha sana, sana sana watu wanakuonea wivu.
ReplyDeleteKati ya huyu na 'kata kundu' yupi bora? au bora ni kuona vichupi na shanga?
Michuzi watuwasikuchagulie habari za kuweka hapa, sisi kama public tuna haki ya kujua kila unachoweza kukipata
Duh!!!!!!! Huyu bwege amenikumbusha jamaa mmoja miaka ya tisini pale bongo city center maeneo ya hindu mandal hospital ana kijino cha dhahabu,jina simjui,huyu unae muona hapa cha mtoto,yule bwege alikuwa mwisho,tulikuwa tunajiuliza,kwa nini anavaa shati,fashion zingine ni upuuzi!
ReplyDeleteNamfagilia babake!
ReplyDeleteLakini akumbuke tu kuwa "tuu mach of everithing iz hamful"
Naamini huyu jamaa kavaa hivi kwa tukio maalum, could be alikuwa ktk advert au ni moja ya vichekesho..The place looks like Saba saba grounds
ReplyDeleteMichuzi kwakweli this is very funny! Sasa suruali hapo si mita 5? Mhhh! Huyu lazima mlugulu km sio mng'oni!tena nifundi cherehani wanguo zakiume au ni taxi dreva km sikosei, Nawajua watani wangu kwakuchanganya mambo yakipapaapaa Chiko chikae! Saa hapo ukute kakupigia shati la bahama yani ujiuji,suruali ya kitambaa chakina mama na inaselebration 8 nakiatu cha checknorris kimechongoka km mkuki moyoni nanywele bado anastyle yakizamani pushback lina kisahani kwajuu kaliweka dawa nyeusiiii na carl, na tai kapiga nyembambaaa haiendani nachochote alichovaa na cheni kubwa feki juu yatai, nalipete moja zito limeziba vidole vyote mkononi, alafu anatembea anapanua mikono km anamajipu kwenye mikono, watu design hii wabishi wanajiona km babkubwa hawaambiwi kitu ole wako akutongoze dada umkatae sikiliza matusi yako. Dr. ME
ReplyDelete