Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 43 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 26, 2007

    Ee Bwana ndioooo!!!, huyo PDG si mchezo, napenda watu kama hao wanaoanzisha fashion zao wenyewe.Naona anafaa kuwa designer.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 26, 2007

    Nikiwa kama mmoja wa wanablog wako mashuhuri naomba kusema kitu kimoja kwamba hawa watu wa ajabu ajabu unawatoa wapi? maana hii si mitindo ya nguo bali ni ujinga,mtu utvaaje namna hiyo halafu unatembea mitaani,kama ujui saizi yako ya nguo na uzee wote huo basi lazima utakuwa chimedi(mpendawazimu)

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 26, 2007

    Kulaleeki walahi.. enzi hizooo wakati wazaire wamevamia nchi.. du jamaa bado analo tuu!!! Papaaa mukulu kulu...!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 26, 2007

    du bro umetoka mchicha kichizi u luk kama umetolewa milembe leo

    ReplyDelete
  5. Naomba umpige picha kwa nyuma ili tuone upededjee unaonekana vp kwa upande pinzani wa mbele.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 26, 2007

    huyo amebakiza siku chache tu ajifungue. mtafutieni japo mkunga wa jadi awe anam-monitor!

    ReplyDelete
  7. Hahahahahahahaaaaaa!!! we Michuzi una utani na mbavu zangu wallahi!! Kha! aisee huyu jamaa kaniacha hoi babake!! Mwenyewe anajivinjari mtaani hana hata wasiwasi hahahahaha!! Its really Funny!!!
    Cheers Michuzi!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 26, 2007

    Hii haihusiani na huyo "pededjee" pichani. Lakini inafaa sana kumtumia aangalie kwa makini mipango ya mikataba miwili ya uranium yetu na wawekezaji kutoka nje.

    Mpango wa Kwanza:

    Mantra Resources Announces Acquisition of Additional Uranium Tenements in Tanzania Wed July 25, 2007, 9:48 am

    Original Announcement: Acquisition of Additional Uranium Tenements in Tanzania Mantra Resources announced that it has entered into agreements to acquire interests in a package of six uranium exploration tenements within the Bahi catchment area in central Tanzania. Under the terms of the first agreement, Mantra will enter into a JV with a Tanzanian partner and acquire a 95% interest in four prospecting licences covering a total area of approximately 770 sqkm. Under a second agreement, the company has purchased outright, two adjacent prospecting licences covering an additional area of 340 sqkm.
    More information about MRU.AX

    Mpango wa Pili:

    Atomic Signs Letter of Intent to Acquire Over 2800 Sq. Kilometers of Uranium Property in Tanzania
    Wednesday July 25, 9:30 am ET
    VANCOUVER, BRITISH COLUMBIA--(MARKET WIRE)--Jul 25, 2007 -- Atomic Minerals Ltd. (CDNX:ATL.V - News)(Frankfurt:M7J.F - News) ("Atomic" or the "Company") is pleased to announce that it has signed a letter of intent (the "LOI") with Geo Can Resources Company Ltd. ("Geo Can") to enter into an option agreement to earn the right to acquire up to a 90% interest in a land package totalling approximately 2800 square kilometres located in the United Republic of Tanzania (the "Property"). Atomic paid Geo Can a non-refundable deposit of US$65,000 on execution of the LOI. The two companies have agreed to negotiate a definitive option agreement (the "Option Agreement") by September 14, 2007 subject to the results of Atomic's due diligence on the Property (including the preparation of a title opinion) and TSX Venture Exchange ("TSX-V") approval.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 26, 2007

    Sasa hapo shati lina kazi gani?

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 26, 2007

    KUBWA JINGA.....

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 26, 2007

    michu unaboaaaaaaaaaaaaaaaa kwa mapicha yako ya graduesheni kila leooooo,acha kuwa BWEGE. kama unalipwa na hao kutoa mipicha yao basi fungua blogu jipya la mahafali! dnt be stupid man,kuna vitu vingi vya kuweka

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 26, 2007

    "MHUU NO COMMENTS..........."
    KUNA WATU HAPO HAKULIKI HAKULALIKI KWA HUYO JAMAA......
    UTAKUTA KAMSHIKIA MTU KIUNO " NASIKIA UNATEMBEA NA MY BOYFRIEND WANGU " -JUU YA HUYO JAMAA DUUH!!!!
    SIJUI WATU WANAWAZAGA NINI???

    ReplyDelete
  13. Duuh pededjee kachokaa.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 26, 2007

    hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 26, 2007

    okaaay.. now that is jst ridiculous!!! huyo mtu mzima mbona anajiabisha??? uvaaji huo ndio unaotufanya tuonekane tuna masihara.. Dress code zetu mbovu sana... sasa hilo ni shati au "blauzi"??? au "kitopu" na hiyo suruali kuivalia hapo kwny matiti ndio tuseme alitaka kuvaa gauni kabisa au?? sielewi kwa kweli!!

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 26, 2007

    teh..teh..teh..teh...michuzi huyo jamaaa umemtoa wapi....maana hiyo style inaitwa KUTUMBO..si mchezo............kama kitambi kimesafiri basi style hiyo haiwezekani.....

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 26, 2007

    Duh hii style imetulia....jamaa kajikwatua si kitoto....huyu kwa vyovyote vile ni mcheza mayenu a.k.a NOMBOLOYASOLO....lol kitakachofuata sasa naona ni suluari za kufungia shingoni no need ta kuwa na shati hii ni katika kupunguza gharama za mavazi..hahahahahaha.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJuly 26, 2007

    kwikwikwi
    Makarikenya yapo mengi. kwkwikwkiikwikwikwi

    ReplyDelete
  19. AnonymousJuly 26, 2007

    Huyo jamaa mzaire mwambie awe tayari na vitambulisho vyake.
    Jamaa wa uhamiaji wakimuona ni Dili.
    Tehee teheeee.

    ReplyDelete
  20. AnonymousJuly 26, 2007

    Hizo suruali za Congo hazipendenzi!

    ReplyDelete
  21. AnonymousJuly 26, 2007

    huyu jamaa si mtu mzima kabisa???!!

    ReplyDelete
  22. Dah huyu babu kapendeza lakini dah si angevalia hio suruali kwene maziwa kabisa? au tuseme mabegani kabegani haswa. mmmh au sketi ndio ingemfaa zaidi?

    ReplyDelete
  23. AnonymousJuly 26, 2007

    Kwa Fashaa Ya Bana Kongo Tunatomboka Namna Hii Pana Cheka Bana Bongo... teh teh teh!

    ReplyDelete
  24. AnonymousJuly 26, 2007

    Mimba? ...au ndio kumsaidia mama watoto kuibeba?...

    ReplyDelete
  25. AnonymousJuly 26, 2007

    toa ujinga wa kutuonyesha mtendaji wakijijini kwenu
    we kama huna picha piga wanyama

    ReplyDelete
  26. AnonymousJuly 26, 2007

    Duuh jamaa amependeza sana yuko muchicha,mukulu unajongea city?big up bruv umependeza si mchezo.watoto hapo lazima wajigonge na wake za watu vilevile weee wacha tuu uko vizuri.

    ReplyDelete
  27. AnonymousJuly 26, 2007

    ".LAHAULA LAKWATA." HABARI ZA KIPIGA PICHA ISSA...NAONA MAMBO YA LOKASA YA MBONGO "..ETUTANA YANGO NA YANGO.." SASE BONSAAA...NIWATAALAMU WA "..KUPAKUWA.." WAKE ZA WATU BILA KUVUNJA NDOA..ZA WENYEWE..

    ReplyDelete
  28. AnonymousJuly 27, 2007

    Issa kwa asie na maoni bora asiandike chochote kuliko kutukana tuwe waungwana watanzania kwa kuzingatia maadili yetu mema

    ReplyDelete
  29. AnonymousJuly 27, 2007

    MICHUZI!! EEE BWANAAA EEE HUYU SIYO YULE KIJANA WA MISSOURI BENEDICT NICKY NIKUMWINIKA? AMEBADILIKA SANA ATAKUWA ANAKULA KISU CHA NGUVU HUKO BONGO? KAPENDEZA SANA LAKINI ANGE MECHISHA NA PULL NECK NA KUNYOA KIPARA...! MPE 5 BASI BWANA MICHUZI!

    ReplyDelete
  30. AnonymousJuly 27, 2007

    duuu uwezi kuamini huyo jamaa sala tano kila siku.

    ReplyDelete
  31. AnonymousJuly 27, 2007

    annon 9:06 PM, Tulia acha kupayuka! Michuzi lete vitu adimu hivyo! Big up for your nice job!!

    ReplyDelete
  32. AnonymousJuly 27, 2007

    JAMAA HUYO KWENYE PICHA MAISHA YAMEMSHINDA,LAZIMA ATAKUWA MSHONA NGUO,KWA KIFUPI AROSTO INAMSUMBUA!

    ReplyDelete
  33. AnonymousJuly 27, 2007

    He must be a loyal fun of Shaquille O'neal. He has to wear his trouser. That's what we call a true-blue fun. Go ahead with your bad self!!!!!!

    ReplyDelete
  34. AnonymousJuly 27, 2007

    Kuna hili kubwa jinga lililocomment upuuzi huu..

    Tarehe July 26, 2007 4:27:00 PM EAT, Mtoa Maoni: Anonymous

    michu unaboaaaaaaaaaaaaaaaa kwa mapicha yako ya graduesheni kila leooooo,acha kuwa BWEGE. kama unalipwa na hao kutoa mipicha yao basi fungua blogu jipya la mahafali! dnt be stupid man,kuna vitu vingi vya kuweka
    KAKA HUJALAZIMISHWA KUANGALIA BLOG HII BWANA WE KAMA UNAONA UNABOREKA ANGALIA BLOG NYINGINE SI LAZIMA YA MICHUZI BWANA ZIPO BLOG MBALI MBALI HATA ZENYE KUONYESHA MATUNDA ZIPO SO U CAN VIEW HIZO BLOG KULIKO KUJA KUTOA COMMENTS ZA KIJINGA HUMU NDANI, HAULIPII CHOCHOTE SASA UNACHOLALAMIKA NI NINI?? WACHA USHAMBA WE PUFU ALA

    ReplyDelete
  35. AnonymousJuly 27, 2007

    Watu wengine bwana,
    Nguo avae mwingine kuwashwa muwashwe nyie. Leteni picha zenu tuone mnavaaje

    ReplyDelete
  36. AnonymousJuly 27, 2007

    HUYU JAMAA AKITAKA KUTOA PESA MFUKO WA NYUMA ATATOAJE? ITABIDI APITISHE MKONO KARIBU NA SIKIO MPAKA MGONGONI HALAFU NDIPO ATAFANIKIWA,

    ReplyDelete
  37. AnonymousJuly 27, 2007

    Kwa kweli inachekesha sana tu,hata wengine wachukie vipi... binadamu kama huyu wanahitajika duniani, la sivyo dunia itaanza kuboa!

    Jamaa naona ana save gharama za kitambaa cha shati! he he he

    SteveD.

    ReplyDelete
  38. AnonymousJuly 27, 2007

    nyuma lazima kipwinto kimeingia, fashion nyingine za kibwege kweli loo!

    ReplyDelete
  39. AnonymousJuly 27, 2007

    Hakuna nini wala nini!!! umependeza babaake!!! Umetoka chicha sana, sana sana watu wanakuonea wivu.
    Kati ya huyu na 'kata kundu' yupi bora? au bora ni kuona vichupi na shanga?
    Michuzi watuwasikuchagulie habari za kuweka hapa, sisi kama public tuna haki ya kujua kila unachoweza kukipata

    ReplyDelete
  40. AnonymousJuly 29, 2007

    Duh!!!!!!! Huyu bwege amenikumbusha jamaa mmoja miaka ya tisini pale bongo city center maeneo ya hindu mandal hospital ana kijino cha dhahabu,jina simjui,huyu unae muona hapa cha mtoto,yule bwege alikuwa mwisho,tulikuwa tunajiuliza,kwa nini anavaa shati,fashion zingine ni upuuzi!

    ReplyDelete
  41. AnonymousJuly 30, 2007

    Namfagilia babake!
    Lakini akumbuke tu kuwa "tuu mach of everithing iz hamful"

    ReplyDelete
  42. AnonymousJuly 30, 2007

    Naamini huyu jamaa kavaa hivi kwa tukio maalum, could be alikuwa ktk advert au ni moja ya vichekesho..The place looks like Saba saba grounds

    ReplyDelete
  43. AnonymousJuly 31, 2007

    Michuzi kwakweli this is very funny! Sasa suruali hapo si mita 5? Mhhh! Huyu lazima mlugulu km sio mng'oni!tena nifundi cherehani wanguo zakiume au ni taxi dreva km sikosei, Nawajua watani wangu kwakuchanganya mambo yakipapaapaa Chiko chikae! Saa hapo ukute kakupigia shati la bahama yani ujiuji,suruali ya kitambaa chakina mama na inaselebration 8 nakiatu cha checknorris kimechongoka km mkuki moyoni nanywele bado anastyle yakizamani pushback lina kisahani kwajuu kaliweka dawa nyeusiiii na carl, na tai kapiga nyembambaaa haiendani nachochote alichovaa na cheni kubwa feki juu yatai, nalipete moja zito limeziba vidole vyote mkononi, alafu anatembea anapanua mikono km anamajipu kwenye mikono, watu design hii wabishi wanajiona km babkubwa hawaambiwi kitu ole wako akutongoze dada umkatae sikiliza matusi yako. Dr. ME

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...