mdau subi amefanya vitu vyake ili kusaidia wadau wote muone luninga za bongo.

Nimefanya kitu fulani na hizo link, na inaelekea watu wanaweza kuunganisha, hivyo natuma hapo na wewe ujaribu, huenda utafaidi. Copy link unayotaka kutizama, kisha Paste kwenye "Windows Media Player" (version 10 ama 11) yako ama "Real Media Player" toleo la 11 kisha itakuonyesha kuwa ina-connect ama "buffer", subiri ikifika 100% utaona TV LIVE kama wanavyojionea waliopo nyumbani Tz.
Links ni hizi:

Channel TENhttp://tinyurl.com/24awmk
StarTvhttp://tinyurl.com/3xhap3
Ikiwa njia hii inashindikana kwako,
basi, nenda kwenye blog: http://nukta77.blogspot.com nimeziweka pale
Ama nenda tovuti ya: http://video.aol.com pale kwenye "search box", taipu Channel 10 ama Star TV kisha utizame kupitia hapo.
Wasalaam,
Subi - nukta77.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 09, 2007

    Tumezidi kuiba! Jamani.....

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 10, 2007

    hizi kitu hazikubali kabisa

    ReplyDelete
  3. Ahsante sana Subi,

    Naila Channel 10 hapa (UK) kwa raha zangu. Lakini Star Tv imenigomea kabisa hata baada ya kujaribu nia zako zote hizo.

    Cheers man.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 10, 2007

    mambo swaaafi kabisa kwani nimepata kusikiliza taarifa ya habari kutoka bongo. shukuani kwa aliyetuunganishia.good job

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 10, 2007

    Kweli ni maendeleo makubwa na inatusaidia sana sisi ambao tuko huku mamtoni.But kuna vitu nimenote.

    1.Si "live"kama unavyowesema bali tuseme ni recorded kwa maana sio kinachonyeshwa muda huo nyumbani basi na huku tunaona program ni recorded halafu recorded yenyewe haina mpangilio mara taarifa ya habari ya tarehe 6/7/07 unaiona tar 9/7/07.

    Kwa hiyo ni uongo mkubwa kusema tunaona sawa na watu walioko Tz huo ni uongo.Nafikiri Watz bado tunahitaji sana kujifunza ukweli.

    2.Matangazo yanakatika katika sana.

    Tofauti na KBC ambayo kweli unaona sawasawa na kwao yaani kipindi wanachoatazama muda huo na wa ughaibuni pia tunaona nao sanjali.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 10, 2007

    Well done!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 10, 2007

    ipi katika hizi inakubali wadau ,au zinakubali in specific nchiz,US peke yake maana huku germany zote zinagoma

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 10, 2007

    ipi inakubali kati ya hizi,au zinakubali in specific nchiz,maana huku germany zote zinagoma

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 10, 2007

    VERY UNUSEFULl INFORMATION. i cant believe i wasted my time on this. Pse be serious Mr. Subi

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 10, 2007

    Michuzi waelekeze na wengine kama
    ,TVT,RTD,Radio One,Clouds FM,ITV na Channel 5 kuhusu hii technology nao waingine angalau tuwaone kina Masanja Mkandamizaji,Joti aka HammieJay"Mdebwededo" na wengineo.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 10, 2007

    Mi nipo UK napata ujumbe huu kwenye channel 10 "THE CHANNEL IS NOT AVAILABLE IN THIS COUNTRY"

    Sasa wadau wengine mliopo UK tufahamisheni maana mimi nipo Scotland au kwa England na sehemu zingine zinaonekana?

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 10, 2007

    jamani mie naishi london, north london to be precise, na ninaagalia channel 10 murua bila ya tatizo lolote through window media. ni burdani tupu. maybe you guys should keep trying or something.thanks

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 10, 2007

    Asante Subi. Nipo Finland na nimepata Channel 10 ila Star TV imegoma. It doesnt matter kama ni recorded au la, ili mradi twapata vya nyumbani!

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 11, 2007

    SUBI UMEFANYA KAZI NZURI SANA ACHANA NA WATU WASIOKUWA NA SHUKRANI. HATA KAMA RECORDED INATOSHA KWA KUANZIA.
    ASANTE -NDAGA FIJO SUBI

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 11, 2007

    Mimi nipo USA nimepata zote na zinaonekana vizuri tu na huyo anayesema zinakatika katika labda anatumia bado 56 speed.....haina hata kukatika na vipindi mbona vinaenda sawa na walivyoandika ila usiku kule kwao ndio kama sasa hivi kwenye star wanaweka session ya bunge badala ya ratiba yao na wengine wanaweka sabasaba special. Na hii ni kawaida hata US sometimes wanafanya hivyo sioni cha kulaumu ni nini.

    Ila kipindi kinaitwa tutafika kweli nimeona na masaa yalikua ni sawasawa na kule.

    I hope hawataiondoa mapema kama walivyoondoa clouds fm. Sijui tunatoka kwa force kubwa mpaka wanashindwa kutuaccomodate the last time mtu alitangaza kuhusu clouds nikaona siku moja tu baada ya hapo sijawahi tena kuona.

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 11, 2007

    Star TV nendeni hapa mi naipata vizuri kabisa.

    http://www.jumptv.com/en/channel/startv/

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 11, 2007

    Hacheni wizi wabongo watakuja kujua na wakijua tu blog hii itashitakiwa..

    Michuzi angalia vitu unavyo weka utakuja kuwekwa matatani... siku ya mwizi waswahili wasema ni arobain na watakuja kushtukia wana watazamani kibao wakati waliojiandikisha na huduma hiyo hawafiki idadi hiyo na hapo ndio itakuwa kasheshe.

    Kaushauri tu, Ondoa hizo websites kama haujaingia matatani.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJuly 12, 2007

    no acheni uoga hizi channel ni free lwa usa lakini lbda ni promotiontu. kuna nchi nyingi tu na zo pia kuna nyingine free nyongine not so. hivyo wala usikeondoa wacha weng i waone waangalie. Mimi nilikua sujui lakini toka nimefahamu naangalia sana.

    ReplyDelete
  19. Hapa ninakutumieni tena link ya StarTv.
    Copy and paste into your WMP or RM version 11.

    http://tinyurl.com/2c4gl3

    Kwa aliyepata Channel TEN, fungua kama link kama ulivyofanya kwenye Channel TEN.

    Kwa ambaye hajaweza kufungu ahata moja, sina namna ya kujieleza kusaidia tena, mwingine na aelekeze alivyofanikiwa tafadhali.

    Isije ikawa mtu anachukua link na kuifungua kwenye browser kama vile anavyofungua www.issamichuzi.com, haitafunguka, hizo linki zinafunguka kwenye WMP ama RP 11

    KEY:
    WMP = Windows Media Player
    RP = Real Player

    Subi - nukta77

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...