mdau subi amefanya vitu vyake ili kusaidia wadau wote muone luninga za bongo.
Channel TENhttp://tinyurl.com/24awmk
StarTvhttp://tinyurl.com/3xhap3
Ikiwa njia hii inashindikana kwako,
basi, nenda kwenye blog: http://nukta77.blogspot.com nimeziweka pale
Ama nenda tovuti ya: http://video.aol.com pale kwenye "search box", taipu Channel 10 ama Star TV kisha utizame kupitia hapo.
Wasalaam,
Subi - nukta77.
Nimefanya kitu fulani na hizo link, na inaelekea watu wanaweza kuunganisha, hivyo natuma hapo na wewe ujaribu, huenda utafaidi. Copy link unayotaka kutizama, kisha Paste kwenye "Windows Media Player" (version 10 ama 11) yako ama "Real Media Player" toleo la 11 kisha itakuonyesha kuwa ina-connect ama "buffer", subiri ikifika 100% utaona TV LIVE kama wanavyojionea waliopo nyumbani Tz.
Links ni hizi:
Channel TENhttp://tinyurl.com/24awmk
StarTvhttp://tinyurl.com/3xhap3
Ikiwa njia hii inashindikana kwako,
basi, nenda kwenye blog: http://nukta77.blogspot.com nimeziweka pale
Ama nenda tovuti ya: http://video.aol.com pale kwenye "search box", taipu Channel 10 ama Star TV kisha utizame kupitia hapo.
Wasalaam,
Subi - nukta77.
Tumezidi kuiba! Jamani.....
ReplyDeletehizi kitu hazikubali kabisa
ReplyDeleteAhsante sana Subi,
ReplyDeleteNaila Channel 10 hapa (UK) kwa raha zangu. Lakini Star Tv imenigomea kabisa hata baada ya kujaribu nia zako zote hizo.
Cheers man.
mambo swaaafi kabisa kwani nimepata kusikiliza taarifa ya habari kutoka bongo. shukuani kwa aliyetuunganishia.good job
ReplyDeleteKweli ni maendeleo makubwa na inatusaidia sana sisi ambao tuko huku mamtoni.But kuna vitu nimenote.
ReplyDelete1.Si "live"kama unavyowesema bali tuseme ni recorded kwa maana sio kinachonyeshwa muda huo nyumbani basi na huku tunaona program ni recorded halafu recorded yenyewe haina mpangilio mara taarifa ya habari ya tarehe 6/7/07 unaiona tar 9/7/07.
Kwa hiyo ni uongo mkubwa kusema tunaona sawa na watu walioko Tz huo ni uongo.Nafikiri Watz bado tunahitaji sana kujifunza ukweli.
2.Matangazo yanakatika katika sana.
Tofauti na KBC ambayo kweli unaona sawasawa na kwao yaani kipindi wanachoatazama muda huo na wa ughaibuni pia tunaona nao sanjali.
Well done!
ReplyDeleteipi katika hizi inakubali wadau ,au zinakubali in specific nchiz,US peke yake maana huku germany zote zinagoma
ReplyDeleteipi inakubali kati ya hizi,au zinakubali in specific nchiz,maana huku germany zote zinagoma
ReplyDeleteVERY UNUSEFULl INFORMATION. i cant believe i wasted my time on this. Pse be serious Mr. Subi
ReplyDeleteMichuzi waelekeze na wengine kama
ReplyDelete,TVT,RTD,Radio One,Clouds FM,ITV na Channel 5 kuhusu hii technology nao waingine angalau tuwaone kina Masanja Mkandamizaji,Joti aka HammieJay"Mdebwededo" na wengineo.
Mi nipo UK napata ujumbe huu kwenye channel 10 "THE CHANNEL IS NOT AVAILABLE IN THIS COUNTRY"
ReplyDeleteSasa wadau wengine mliopo UK tufahamisheni maana mimi nipo Scotland au kwa England na sehemu zingine zinaonekana?
jamani mie naishi london, north london to be precise, na ninaagalia channel 10 murua bila ya tatizo lolote through window media. ni burdani tupu. maybe you guys should keep trying or something.thanks
ReplyDeleteAsante Subi. Nipo Finland na nimepata Channel 10 ila Star TV imegoma. It doesnt matter kama ni recorded au la, ili mradi twapata vya nyumbani!
ReplyDeleteSUBI UMEFANYA KAZI NZURI SANA ACHANA NA WATU WASIOKUWA NA SHUKRANI. HATA KAMA RECORDED INATOSHA KWA KUANZIA.
ReplyDeleteASANTE -NDAGA FIJO SUBI
Mimi nipo USA nimepata zote na zinaonekana vizuri tu na huyo anayesema zinakatika katika labda anatumia bado 56 speed.....haina hata kukatika na vipindi mbona vinaenda sawa na walivyoandika ila usiku kule kwao ndio kama sasa hivi kwenye star wanaweka session ya bunge badala ya ratiba yao na wengine wanaweka sabasaba special. Na hii ni kawaida hata US sometimes wanafanya hivyo sioni cha kulaumu ni nini.
ReplyDeleteIla kipindi kinaitwa tutafika kweli nimeona na masaa yalikua ni sawasawa na kule.
I hope hawataiondoa mapema kama walivyoondoa clouds fm. Sijui tunatoka kwa force kubwa mpaka wanashindwa kutuaccomodate the last time mtu alitangaza kuhusu clouds nikaona siku moja tu baada ya hapo sijawahi tena kuona.
Star TV nendeni hapa mi naipata vizuri kabisa.
ReplyDeletehttp://www.jumptv.com/en/channel/startv/
Hacheni wizi wabongo watakuja kujua na wakijua tu blog hii itashitakiwa..
ReplyDeleteMichuzi angalia vitu unavyo weka utakuja kuwekwa matatani... siku ya mwizi waswahili wasema ni arobain na watakuja kushtukia wana watazamani kibao wakati waliojiandikisha na huduma hiyo hawafiki idadi hiyo na hapo ndio itakuwa kasheshe.
Kaushauri tu, Ondoa hizo websites kama haujaingia matatani.
no acheni uoga hizi channel ni free lwa usa lakini lbda ni promotiontu. kuna nchi nyingi tu na zo pia kuna nyingine free nyongine not so. hivyo wala usikeondoa wacha weng i waone waangalie. Mimi nilikua sujui lakini toka nimefahamu naangalia sana.
ReplyDeleteHapa ninakutumieni tena link ya StarTv.
ReplyDeleteCopy and paste into your WMP or RM version 11.
http://tinyurl.com/2c4gl3
Kwa aliyepata Channel TEN, fungua kama link kama ulivyofanya kwenye Channel TEN.
Kwa ambaye hajaweza kufungu ahata moja, sina namna ya kujieleza kusaidia tena, mwingine na aelekeze alivyofanikiwa tafadhali.
Isije ikawa mtu anachukua link na kuifungua kwenye browser kama vile anavyofungua www.issamichuzi.com, haitafunguka, hizo linki zinafunguka kwenye WMP ama RP 11
KEY:
WMP = Windows Media Player
RP = Real Player
Subi - nukta77