Home
Unlabelled
timu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Poa Tu Medal Kitu Gani Ila Matoroli Ya Airport Wanayachezea
ReplyDeleteTUNASHUKURU SANA KWA KUTUWAKILISHA JAPOKUWA MMERUDI "..MIKONO MITUPU.." NA TRAK SUTI ZENU NA HAYO MAPOZI NI BURUDANI YA AINA YAKE.."MJI MLIOFIKIA UNAVUUTIA EEE..
ReplyDeleteHawa mji waliofikia hawaujui zaidi ya kambi au hotel waliyofikia.Hawajaruhusiwa kwenda popote kwa kuogopa watazamia si ndiyo za kibongobongo?Jamaa mmoja kazamia Australia mwaka jana alitangazwa kwenye vyombo vyote vya habari.Rogers Mtagwa mwenyewe kazamiaga mpaka leo ndo maana hana mafanikio ila kipaji anacho na siku akipata makaratasi atakua yuko sawa.
ReplyDeleteHivi kwanini wabongo mnashindwa kuwatia nguvu wanamichezo badala yake mnawabonda? mgekuwa nyie mmeenda mngeweza kurudi na medali?
ReplyDeleteTatizo lenu mnadhani kwamba kila siku ni jumamosi! kwamba kila michezo ni lazima mshinde ee!
Unadhani kuna mtu anapenda kushindwa? Wamejitahidi kadri ya uwezo wao, walichopata ndio hicho hicho kinatosha.
Kaka Michu, tuna shida kweli na waosha vinywa! Mungu awasaidie kwa kweli.
Jamani mtu azamie algeria hajipendi?
ReplyDeletekunawebsite ian onjesha nchi nzuri za kuzamia na hiyo ahaipo kabisa.
sitoi link wengi mtaogelea bure na papa wapo kibao baharini. mimi nshafika nikiweka link tutabanana
mwanariadha wa mbio ndefu john yuda alitukana waandishi wa habari akiwalaumu kwa headlines mbaya, siku moja baadaye akamdunda mkewe ambaye pia ni mwanariadha.
ReplyDelete