timu yetu kwenye michuano ya michezo ya bara la afrika huko algeria baada ya kutua dar usiku huu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 26, 2007

    Poa Tu Medal Kitu Gani Ila Matoroli Ya Airport Wanayachezea

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 26, 2007

    TUNASHUKURU SANA KWA KUTUWAKILISHA JAPOKUWA MMERUDI "..MIKONO MITUPU.." NA TRAK SUTI ZENU NA HAYO MAPOZI NI BURUDANI YA AINA YAKE.."MJI MLIOFIKIA UNAVUUTIA EEE..

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 26, 2007

    Hawa mji waliofikia hawaujui zaidi ya kambi au hotel waliyofikia.Hawajaruhusiwa kwenda popote kwa kuogopa watazamia si ndiyo za kibongobongo?Jamaa mmoja kazamia Australia mwaka jana alitangazwa kwenye vyombo vyote vya habari.Rogers Mtagwa mwenyewe kazamiaga mpaka leo ndo maana hana mafanikio ila kipaji anacho na siku akipata makaratasi atakua yuko sawa.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 26, 2007

    Hivi kwanini wabongo mnashindwa kuwatia nguvu wanamichezo badala yake mnawabonda? mgekuwa nyie mmeenda mngeweza kurudi na medali?

    Tatizo lenu mnadhani kwamba kila siku ni jumamosi! kwamba kila michezo ni lazima mshinde ee!

    Unadhani kuna mtu anapenda kushindwa? Wamejitahidi kadri ya uwezo wao, walichopata ndio hicho hicho kinatosha.

    Kaka Michu, tuna shida kweli na waosha vinywa! Mungu awasaidie kwa kweli.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 26, 2007

    Jamani mtu azamie algeria hajipendi?

    kunawebsite ian onjesha nchi nzuri za kuzamia na hiyo ahaipo kabisa.

    sitoi link wengi mtaogelea bure na papa wapo kibao baharini. mimi nshafika nikiweka link tutabanana

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 26, 2007

    mwanariadha wa mbio ndefu john yuda alitukana waandishi wa habari akiwalaumu kwa headlines mbaya, siku moja baadaye akamdunda mkewe ambaye pia ni mwanariadha.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...