Home
Unlabelled
vichupi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ninaamini hiyo ni kasumba tu kaka Michuzi. Ukienda kwenye fukwe zetu chache utakuta watu wamevaa vichupi tu. Kwa dunia ya sasa huwezi kusema eti unakataza vichupi kwasababu vinadhalilisha dada zetu. Mbona wakienda nje wanavaa? Siku hizi watu wanaona hayo mambo kupitia luninga na mtandao hivyo hivyo kama ni uoga wa kuwafundisha watoto wetu mambo hayo basi nadhani haitasaidia.
ReplyDeletewaooooooooo, hawa wadada warembuuuuu!wako huko bongo. lakini kweli anko michuzi it doesnt make sense hata kidogo, ndio ni kweli utamaduni wetu hauruhusu sasa kwani ukienda huko kwenye mashindano unakuwa si mtanzania,maana u have to wear it ndo mana tunajikuta tunapoteza maksi sababu hiyo,kama ikishindikana basi washindane tu wenyewe kwa wenyewe nchi wanaokataa hivyo vichupi.
ReplyDeleteKama bangi ni ruksa katika nchi moja siyo sababu ya kuihalalisha katika nchi nyingine. Kwa mfano huwo utataka sasa hata USENGE na USAGAJI viruhusiwe nchini. Wakiwa nchini wavae kiheshima wakienda kwa warumi wawe warumi, that's it!!! Nawasilisha sheikh!!
ReplyDeletewekeni vichupi acheni ushamba, sasa mkienda ughaibuni kwenye mashindano mbona mnavaa? si bora mvae nyumbani mpate experience, ndio maana tunashindwa miaka yote kwa ajli mambo yanafanyika kienyeji
ReplyDeleteMichuzi,Michuzi...hiyo sio sababu ya kuweka picha hiyo.Unajua tutasema nini baada ya kuona totos hizo.Hiyo hoja ya kuweka vichupi umeizua kuzua comments.Huyo mtoto wa mbele....woow...kitovu,namba nane,mguu,pajas...wallahi,bongo kuna watoto wazuri.Nitarudi Tanzania nitafute mchumba.Asante kwa kunifungua macho.
ReplyDeletemulenga_allan@yahoo.com
MSICHANA WA MSTARI WA MBELE WA KWANZA BEYONCE MTUPU SAFI SANA BINTI MREMBO SANA NIMEKUPENDAA
ReplyDeleteNamuunga mkono anony mmoja hapo juu.
ReplyDeleteKaka kwa kweli huyo bint wa kwanza hapo mbele, mmh! Si mchezo. Kaumbika idara zote. Anyway sijui sura maana kageuka upande, lakini "body work" mwanangu! Vandumwe! Kaka Michuzi anaitwa nani huyo na yuko wapi siku hizi? Naomba kontakts zake
Huyo wa mbele anasupu sana. tanzania mjue kuwa kama mtawapeleka hao kwenye mashindano ya kimataifa basi wasiwe na uzuri wa kitanzania ( Mapaja) huyo ni overweight mtake msitake
ReplyDeleteYeah ni biance lakini ndio maana biance hafanyi urembo. Kila kitu kina watu wake hawa wakwetu wananyama sana wakivaa vichupi watattamanisha wengi. Wale wa kimataifa ni skni fit ..na vichupi vyao lakini watu hawataishiki
ReplyDeleteWaswahili tulivyo ni kuwa kila tunapomwona mwanamke huwa tunamfikiria kama tumeshamvua nguo na tunaye kitandani. Sasa fikra hizo zinapata moto sana tunapomwona mwanamke amevaa nguo fupi au amevaa kichupi tu. Kwa upiganji marufuku wa vichupi ni matokeo ya upungufu katika fikra zetu.
ReplyDeleteMheshimiwa Issa VIPI SHEHE..NAONA "..JIOGRAFIA.." ZA HAWA VIMWANA NI "..ZINASISIMUA.."...HALAFU ISSA HII BLOGG NI MALI YAKO RUKSA KUONYESHA CHUPI..WABONGO KIBAO WALIMPIGIA KURA "..FLAVIANA.."..SWALA NI WATU WAACHE"..UKWARE.."..IF U DONT LIKE..CHANGE THE CHANEL..
ReplyDeletejamani natangaza nia ya ndoa na huyo mtoto wa kwa nza juu pichani na kama kawaida muungwana natoa ofa ya kifuta jasho cha nguvu kwa atakayenifanyia kazi ya ushenga...Michuzi changamka utapata kifuata jasho cha dola
ReplyDeleteJmani, mbona hamueleweki? Mnakua kama hamjaenda shule? Michu kauliza swali baadala ya kujibu na kutoa michango, mnaleta mambo ya msichana wa mbele.
ReplyDeleteWanawake wote wako sawa kwenye vinena vyao! Hizo nyama ni mambo madogo sana.
Kwenye hoja sasa ni hivi, lazima tupige marufuku bikini kwa sababu inpinganan kabisa na utamaduni wetu. Ningekuwa na uwezo hata mashindanio ya urembo ningeyafutilia mbali.
Annoy 4:52 wewe uliyeenda shule saa unapinga for what reason? Aliyeenda shule anapinga na sababu sio kupinga tu kwa vile vi bikini.
ReplyDeleteCa ajabu nini? Kwani nguo nini nini? Nguo zenyewe tumezijua lini? Na niwangapi bado hawana nguo au nguo zao zimechanika chanika na mwili wote unaonekana? Mbona hamuwaonei huruma na kuwavalisha hao?
bwana TZ tuache tamamaa na hisia za kijinga...Kama mnafanya mashindano hayo fanyeni kweli kama waliyoyaanzisha...aliyeanzisha shindano hakutaka vibukta. basi tuanzishe lingine na kuliita jina lingine na sio majina yao.
UNAFIKI WA CULTURE YETU MBAYA SANA. TANZANIA NI NCHI MOJAWAPO DUNIANI INAYOONGOZA KWA UKIMWI LAKINI VICHUPI MWIKO HADHARANI, KUKISS, AU KUMSHIKA MKONO MPENZI WAKO MWIKO HADHARANI LAKINI TAA ZIKIZIMWA KILA MTTU KAAMKA.
ReplyDeleteNIHERI KUVIONA HIVYO NA KUZOEA NA KUONA NI JAMBO LA KAWAIDA BILA HIVYO NDIO MAANA WATU WAKIONA MSICHANA NA KIMINI NI PPPPPPP PPPPP KILA MTU KAGEUZA KONA. WENGINE TUMESHAZOEA WALA HATUONI NI JAMBO LA AJABU TENA AU KUTAMANISHA TENA.