mwaka huu kuna kazi. chalsii wanabebwa, man yu mdebwedo na jamaa hapo juu ana hasira kweli na daraja la stamfod. we ngoja tu...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. HEHEH Kaka michuzi jamani unaniabisha sisi kama mdebwedo by december ndio mtajua liverpool kichwa cha mwenda wazimu tu mnaanza vizuri lakini vitimu vidogo kama sunderland,fulham vinawatoa roho inabidi mkaze mwanzo mpaka mwisho ./sisi machester tulichemka kwenda pre season Asia timu dhaifu kwahiyo zile mechi 4 za mwanzo chelsea (community shield) reading,portsmouth na machester city ndio ilikuwa pre season yetu ngoja sasa tunawasha engine jumapili oldtrafford

    ReplyDelete
  2. mjomba michu ngoja sasa tuanze league,maana nyinyi hamna mpya bwawa la maini utaliita bwawa la luba,kama kawa champion man utd,nynyi arsenal wasindikizaji afadhali chelsea wanahemea karibu,muhimu league itakupa muelekeo boxing day

    ReplyDelete
  3. huyo jamaa hapo juu huwa anachezaga peke yake hadi hawe na hasira...??...

    ReplyDelete
  4. MICHU UNATIZINGUA SANA KUTULETEA HABARI ZA LIVER HUMU!!UNACHEMKA SANA BRO..HUJUI BLOG YAKO INASOMWA NA WATU WA TIMU MBALI MBALI TENA KALI SANA KAMA CHELSEA..SASA WE UNATUZINGUA NA KA LIVERPOOL KAKO...SI BORA UNGEONGFELA SIMBA NA YANGA NINGEKUONA MTU WA MAANA SANA..TABIA HIYO ACHA INAKUPUNGUZIA UMAARUFU..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...