wadau, ashakum si matusi. hivi mdau ukiingia sehemu kama hii na baada ya kunanihii utatumia nyenzo zipi katika ya hizo kadhaa kujisafi - na kwa nini....?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. NAMNANI HOTEL HAPO... dO!

    ReplyDelete
  2. Hivi Naamnani ni hoteli au Gesti? Manoijua mniambie maana nimeisikia sana na siku hizi pia kuna New Sisimko mweh? ngono zitatupeleka pabaya jamani!

    ReplyDelete
  3. michuzi mbona unatuonyesha kidogo kidogo hekalu lako, si utuonyeshe jumba zima mzee ? au ulilipata kwa njia sio za halali ? tuonyeshee jumba lako bana

    ReplyDelete
  4. Nilipoiona hiyo karatasi ya maliwatoni nimekumbuka tangazo moja Nyaisanga alirekodi zamaani linasema "espa ni toileti tishu ya daraja la juu, ni laini karatasi Yake nzito na ni kubwa izme fungwa vizuri" sijui kama mwenyewe analikumbuka enzi zile hakuna redio zaidi ya RTD

    ReplyDelete
  5. Mimi nitatumia hiyo nyenzo yenye nanii kwa sababu baada ya kunanii kunanii nyingi sana.
    Majita

    ReplyDelete
  6. TATIZO LA MAJI HALIISHI PASIPO KUFUNGA NA KUOMBA!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  7. Kujisafisha kwa maji ni utamaduni wa watu fulani hivi. Ni utamaduni mzuri lakini binafsi siupendi kabisa. Nikiingia hapo nikamaliza kunanihiii nisipopata tissue nyepesi napandwa na hasira hata nakata mguu katika hoteli husika. Si wengi tunapenda kushika nanihii. Hatuja lelewa katika huwo utamaduni. TP inatosha.

    ReplyDelete
  8. kama ni haja kubwa, naanza na toilet paper and then maji, haja ndogo natumia maji. Lakini kaka michuzi, maswali gani haya jamani tena? nani asiejua akiingia choooni anafanya nini. hebu tuleteeni vitu vya maana.

    ReplyDelete
  9. duuu wangeweka shimo tu ndio milllinium

    ReplyDelete
  10. MHESHIMIWA ISSA CHOOO UMEKIKARABATI KINAPENDEZA...HAPO SWALA NI UTUMIAJI MAKINI WA ZANA.."USIPOKUWAMWANGALIFU/MZOEFU KATIKA KUTUMIA MAJI, UTAONDOKA NA KINYESI CHAKO.." NA VILEVILE,USIPOKUWAMWANGALIFU/MZOEFUKATIKA KUTUMIA TOILETI PEPA, UTAONDOKA NA KINYESI CHAKO..HII INAJUMUISHA ZANA NYINGINE NYINGI AMBAZO UJAZIORODHESHA.

    ReplyDelete
  11. Anon Aug 15, 3:05 AM "kama ni haja kubwa, naanza na toilet paper and then maji, haja ndogo natumia maji." - Vema sana!
    Bado watu wengi hawajui ustaarabu, wakati ustaarabu kitu cha bure! Hili ni la maana sana wapo watu wanaachika kutokana na kutokuwa wastaarabu.

    ReplyDelete
  12. Nikimaliza haja kubwa ningetumia pembe ya mlango kama ulivyo utamaduni wetu

    ReplyDelete
  13. Jamani Michuzi hadi leo unanunua toilet paper za rangi?, nunua nyeupe bwanaaaaa.

    Anyway, nikija kwako kakangu Michu, nikibanwa na haja kubwa na nikamaliza kujisaidia kwanza ntajifuta na Toilet paper, then ntanawa na maji, baada ya hapo nitajifuta tena na toilet paper ili nisibaki na unyevu unyevu, maana unyevu ni maambukizi ya fungus.
    Nikitoka kujisaidia ntakushauri uweke na sabuni ili niitumie wakati natumia maji kujikisha.

    Pia nakushauri usiweke maji ya ndoo, weka kale kabomba/shower kenye mkono ambako unakatumia moja kwa moja kujisafisha. Maji ya ndoo si masafi sana maana huwezi jua aliyetumia kabla yako labda alitumbukiza mikono yake yenye kinyesi ktk maji. Pia hizo ndoo zinamaliza nafasi yote ya toilet hii.

    ReplyDelete
  14. Anon hapo juu naomba nikusaidie kumalizia tangazo la anko J.

    "Na bei yake ni nafuu, ifanye familia yako ijione, kwa kutumia ESPA toilet pepaaa"

    ReplyDelete
  15. Wewe Anon hapo juu unasema hujalelewa katika maadili hayo nakuuliza sasa:-
    Bora nini,kujisafisha na maji baada ya hapo kunawa mikono yako na Gream Lotion au kujifuta na Toilet Paper mavi yakabaki matakoni,umevaa suit yako nzuri lakini mbele ya watu unanuka kinyesi,ipi bora kati ya hayo?

    ReplyDelete
  16. IS utamaduni tu unafikiri kijijini wangefutia na nini majani au? mie naona kama jamaa mmoja alivyosema kama haja kubwa, bora TP alafu Maji, Maji na Tp vyote muhimu hasa maji kumbuka utaosha mikono na sabuni kunawa, TP peke yake inasambaza mambo flani hasa kama umeharisha hahaha mabaki yanaweza kubaki kwenye chupi haifai.

    ReplyDelete
  17. Michuzi mbona sioni air-freshener? Si unajua the consequences of spicy food kama vile pilau? Kama hakuna kirekebisha hewa utaomba mtu asiingie kwa dakika kumi! Kibaya zaidi huyo mtu awe anakusubiri nje tena awe mkweo!

    ReplyDelete
  18. wee michuzi ramani ya hiyo nyumba hujaielewa! wee usidhani mwenzio kuweka ndoo za maji na TP kakosea! hapo ni kwamba hicho kijunba kinatumika kama bafu n at the same tym kama choo! dats y kuna tundu at the end of hicho kichumba so dat mtu akishakoga,asukume maji yaende kwene channel!
    eboooo kubanma matumizi ndio mwendo banaaaaaaa"! hapo kabana nafasiii

    ReplyDelete
  19. Kaka Michuzi hicho choo ukimleta ndugu yako kutoka bush kwenu badala ya kukakaa atachuchumaa na matokeo yake atchafua choo kizima.

    ReplyDelete
  20. Bro Michu!

    hiki Choo naona nakuoga humo humo kina mvuto tatizo padogo sasa mimi 6 kwa 6 na sharti nioge namume wangu, nae anakitambi sasa tutaenea? hiki cha mabachelour tena cha vyuoni au hostel sio cha family au master! ata gesti hakifai maana rigwaride sometimes mpaka chooni, bafuni basi kandanda linaendelea hapa labda tupande juu ya choo. haaaaaa haaaaa haaaaa haaaaa! MKANDAMIZAJI

    ReplyDelete
  21. Bw. Michuzi,asante sana kwa kuleta changamoto kama hili. Unajua Duniani hapa tunaishi na ni vyema kuelimishana. Kuna topics ambazo huwa watu wanaogopa kuzijadili.. ni makosa. Maoni ya wengi kutokana na mawazo yangu ni sawa.Moja--TP, pili-- maji, Tatu--nawa mikono kwa sabuni. Mungu akupe nini tena? The combination of both methods is the best solution.. Lakini hiyo ndoo ondoa, weka kijibomba kama alivyosema mdau mmoja. Lete topic nyingine Michuzi..

    ReplyDelete
  22. Mnhhh! Haya hayo mabomba yanayotoa maji humu jijini yako wapi?Oysterbay?Upanga?Masaki au?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...