Home
Unlabelled
askofu malasusa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera baba Malasusa, ninakutakia kila la kheri kwenye utumishi utusaidie kutuongoza sisi kondoo wa bwana. Mungu akubariki wewe na familia yako, na nitazidi kukuweka kwenye sala maana kazi hii sio rahisi. Mungu awe nawe.
ReplyDeleteBaba Askofu Malasusa, hongera sana na sisi vijana wa kanisa lako tunakutakia mafanikio mema katika kazi ya bwana.... Mungu akuongoze katika kipindi hiki kigumu ndani na nje ya kanisa letu.....
ReplyDeleteKaribu na Mungu akibariki. Naomaba sala iwe kubwa kuliombea Taifa letu na viongozi wake na raia wake ili tuondokane na rushwa, magonjwa, na umasikini.
ReplyDeleteAt least watu wachini wawenze kunyanyuka na kuishi angalau kama binadamu na kama mwenyenzi Mungu alivyokusudia.
Hongera sana
hongera sanaa baba askofu .pamoja na mama askofu.Tutazidi kuwaombea na kuwaweka ktk maombi ili mungu awasaidie muweze kuchunga kondoo wa bwanaa.
ReplyDeleteMbarikiwee!!