mla vichwa maarufu dar bitebo wa pale migomigo lango la jiji kapata jezi mpya kama anavyoonekana pichani na trupu lake wakiwa na papaa juma mbizo wa chuchu sound international ambayo kaiibua upya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Eeh bwana kuna mdau humu alisema Bablii yupo hapo kwa Bitebo mbona simwoni kwenye picha? Au Jamali yule mmanga au Noti wapo wapi? Mzee Kiemba Usungu au Mtama Mchungu wapo wapi?

    ReplyDelete
  2. HAWA WANA SHOO YA KUNG FUU.

    ReplyDelete
  3. bro michu!!haya sasa naona wachina china ndio hivyo tena, taratibu wanachukua nafasi hapo bongo,kwani mwanzo naona hii picha nilizani jeck cheni kafungua chuo cha makug fuu hapo bogo!kumbe ni bitebo?mwambi hiyo masood bitebo,pamoja na self bitebo,wabadilishe hayo mavazi!!kwani air cutting gani inakuwa na nguo za kibabe???/
    (dirty cash SEOUL)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...