warembo wakionesha mambo ya redds jana ukumbi wa ruaha kwenye holi la jj blue

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Jamani kwani ni lazima kuonyesha kitovu au sehemu ya tumbo?

    ReplyDelete
  2. Kaka michuzi siku hizi umeamua kutuwekea 'pilau' live!!???? Sasa unajua hio ni hatari sana hao wakina dada wako uchi huo ni ukweli usio fichika. Sasa kaka hiyo ni hatari kwa vizazi vijavyo. Ni hayo tu kaka.

    ReplyDelete
  3. Michuzi, Ni bora uweke tangazo kwenye blogu yako ya muda - http://www.isamichuzi.blogspot.com/
    Ili watu waelewe kinachoendelea kwani watu wengi wameacha kucheki huku kwenye hii origino, mimi mwenyewe nimebahatika tu kuona tangazo kwenye blogu ya mjengwa.

    ReplyDelete
  4. Kaka michuzi tueleze vizuri hapo lakini sio OHIO!!??? Kaka kama ni wateja wako tuambie tujue aiwezekani kabisa ukatuwekea picha za machangu doa wa ohio.Tueleze ukweli wa hizo picha!!!!!.

    ReplyDelete
  5. aisee huyo dada wa kwanza upande wa kushoto amenibamba.Mdau siwezi pata namba yake ya simu??? japo namba tatu za mwanzo tu. Nyingine nitabahatisha!!!!

    ReplyDelete
  6. Michuzi this is now boring !!!!!!!!!!!!!! Tulete picha zingine haya mambo ya walembo tumechoka nayo sasa !

    ReplyDelete
  7. ..ISSA SAFI SANA MAALIM..VUNJA MIFUPA KAMA BADO MENO IKO..HAWA AKINA " SHANIKWA " WAMEPENDEZA SAANA..Ghetto Luv.

    ReplyDelete
  8. Bongo kwa watoto wa kike, we acha tu! Kwa kweli kwa tumejaaliwa na wenztu wa jirani wanatuonea wivu sana sana!
    Mungu atupe nini bwana!

    ReplyDelete
  9. unajua nini michu wangepiga kampeni ya madem kutembea uchi baada ya mda tungezoea na wala tusinge watamani tena na ukimwi ungepungua

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...