Home
Unlabelled
?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
michuzi samahani natoka nje ya mada.majuzi kuna mdau kalalamika kuhusu bandari ya boti za kwenda zanzibar.alilalamikia,usumbufu,wizi,nauli etc.leo nimepita hapo,lahaula wabeba mizigo wamepewa unifomu bwana! pita ukawa snep u post.keep up mithupu,kilichobaki ni kuwabana SUMATRA waondoe nauli za dollar.
ReplyDeletetusubiri...hiyo station ina vibao siyo vya kawaida!...wanapiga miziki mikalimikali...but ndio kama hivo tena, ukiisha imetoka babake...
ReplyDeleteyap naona presenter,ameamua kupandishia bongo flava inayokwenda kwa jina la vigogo ccm wakashikiliwa/wakatwa na TAKUKURURU kwa rushwa,ifwact wimbo wa buzwagi ni bongo flava nyimbo ambazo wazee hawzifagilii sana,hivi wameomba presenter hawabadilishie,tutafika tu na tumeelewa mtego wao wanaotaka kutuingiza wananchi?
ReplyDeletembona richmond,bot,rada,buzwag hawakamatwi?au kule hamna rushwa?takukuru wacheni sanaa!
HATA WATAWALA WETU HULIJUWA HILO NA NDIO MAANA WAFANYA WATAKALO !
ReplyDeleteKelele za mlango azimzui mwenye nyumba kulala !
Ah...kwa kweli hiyo imetoka, dogo zito alie tu, lakini...ameweza kutupa mwanga wa nini kinaendelea na angalau watu wa Buzwagi watakaobahatika kabla wimbo haujaishia kabisa watapata hizo nyumba. Big up brother Zito
ReplyDeleteKWETU WATANZANIA SIO TATIZO! TUNAPENDA WIMBO WOWOTE MPYA...NA TUNA WANAMUZIKI WENGI NA VIBAO VYAO VIZURI...
ReplyDeleteANGALIA HAKUNA ANAYEUKUMBUKA WIMBO MZURI WA RICHMOND HATA KILE KIBAO KIPYA CHA BENKI KUU....KUNA KIPYA KIMEPIGWA JUZI KULE ARUSHA CHA RUSHWA ZA WABUNGE...ILA NADHANI REDIO BADO KUKIPATA.
Jamani haya mambo bado yako mpaka leo? wapi huko?mmh labda Tandahimba.
ReplyDeleteMICHUZI BABAKE UNAPWAYA SIKU HIZI. WATU WANAPUNGUA KWELI SIYO KAMA VILE MWANZO WATU WALIVYOKUWA WAKIJAZANA HUMU UTADHANI KUNA PILAU LA BURE.
ReplyDeleteLAZIMA KUNA KITU KINACHANGIA HALI HII. WEWE UKIWA KAMA MJASIRIMALI TAFUTA MBINU ZA KURUDISHA WATEJA WAKO HUMU NDANI. VINGINEVYO BLOG HII ITAKUWA KAMA ZA KINA CHE MPONDA, MJENGWA, MPOKI AU WEBSITE YA KIKWETE INAYOTEMBELEWA NA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI. HAHAHAAAAAAAAA. TEHETEHETEHETE
HEHEHEHEHE.
kitakuja tu kibao kingine, hii stesheni kiboko ni bandika bandua sasa hivi tutasikia goma hevi jengine hee
ReplyDeleteWimbo mpya ni huu,wakamatana huko Arusha kwa Rushwa,na hao TUKURUPUKE Wafungiwe miezi sita kama KABWE manake nao wameongopa,huko wapi chupika?.
ReplyDeleteNGOJA STAZI ISHINDE HUO NDIO UNAKUWA WIMBO MPYA.
ReplyDeleteWAZAMINI,AHADI,PONGEZI ZA MINUSO KIBAO ZITAANZA KUMWAGIKA NA KUTUSAHAULISHA SISI WADANGANYIKA KWENYE TOP TEN ZETU MPANGILIO UKOJE.
KILA LA KHERI DJ ENDELEA KUKAMUA MA MYUZIKI.
ENE WEI TUTAFIKA TU
Wanasiasa hawaishiwi na ajenda hata siku moja. Kama unatabia ya kuwashabikia then subiri uzinduzi wa album kula kukicha.
ReplyDeleteKitu cha msingi kwa mtu mmoja mmoja ua kwa kikundi, jielimisheni nini ni HAKI ZENU na upi ni WAJIBU WENU.
Ninahakika hamtakuwa mnasubiri redio itoe vibao vipya mtaweza kucheza CD zenu wenywe kadri mnavyotaka, hizo zitaendelea kuwa ni kazi za wanasiasa wenyewe kwa wenyewe.