wadau wapenzi wa hummer wanaongezeka kila siku. mwenye hili ana mpango wa kuja nalo kwa ajili ya watalii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Toka lini watalii wakaenda mbugani na Limo, kwani MJ ana mpango wa kuja tena nini?

    ReplyDelete
  2. WACHA WAOTE MZARAMO JANGUO HAWamuwezi JARIBUNI TENA KAMA LOTO.

    ReplyDelete
  3. Hongera bwana maana kwa kuleta picha za hummer bongo hapo wengiwatafanya lakini mwenye kuleta uwa analeta bila ya kusema lolote,

    ReplyDelete
  4. hakuna mzungu atayekubali kwenda porini na hiyo kitu ataona ni kufuru especialy kwa sehemu masikini kama bongo pili huyu mtu kwanza kumatain hiyo kitu ikaye road kila siku atashangaa sana.
    Tuwe tunatumia akili sometimes sio vile tu umepata kahela kako kwa ujanja ujanja basi kwa huyu jama asinunua Landcuiser au Landrover kama kweli ataka mambo ya utalii?
    Yetu macho.

    Kadogoo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...