kiongozi wa twanga pepeta akiwa na bosi wa club afrique jesse malongo (shoto), chindakta, da'diana na mdau usiku wa kuamkia leo hapo club afrique ambako wadau kibao walifurika katika shoo ya utambulisho. usiku huu twanga watatesa ukumbi wa silver spoon

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Michuzi mpakanjia kalazwa lugalo mbona hutupi newz au unabanabana labda atapata nafuu atoke?

    ReplyDelete
  2. hi jesse its lilla...long time eeh? the club looks cool maybe someday will pay a visit...enjoy

    ReplyDelete
  3. Looh Diana Lumelezi huko UK siku hizo na umenenepa kweli tulikuwa wote DAHACO jamani,tuwasiliane mi niko US.

    ReplyDelete
  4. hivi D&G siku hizi wanatengeneza nguo za kiafrica ?

    ReplyDelete
  5. Hizo nguo za kiafrika zimetengenezwa na wanigeria,si unajua manaijo moto chini kwa utapeli,bongo bab kubwa hona sasa wanavaa mafake D & G.

    ReplyDelete
  6. we usojulikana wa 5:27 mbona unamuharibia mwenzio mazingira.watu wengine nuksi wewe.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...