hakuna kivazi chenye raha kama kandambili, hasa unapokuwa uko ofu...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. wewe unahitaji vekesheni ya mwaka mzima tena ughaibuni. ukae, ule, ule uamke, ulale, uangalie tv vinginevyo UTACHONGA ile mbaya mara mbili au tatu ya hivyo halafu watu wataanza kusukutua maneno machafu. Tena ukifikiria umeenda kubeba mzigo wa watani wa jadi, hapo ndiyo watasema yote. Kaa kitako, pumzika na rudisha mwili, hawa wadau na hii blog watakumaliza. UMECHONGA SANA MSHIKAJI WANGU MICHUZI. PUMZIKA KIDOGO. una mwili mzuri tu siyo huo.

    ReplyDelete
  2. sasa hilo hapo ndio jumba lako michu, naona una bonge la hekalu mzee, acha kutupiga fiksi kwamba unakaa kule ulipotuonyesha, !

    ReplyDelete
  3. Ahaa kweli!!!.Hakuna kivazi chenye raha kama kandambili hasa unapokuwa na fungus.
    Majita

    ReplyDelete
  4. Haaaa hahaaa!!! Ni kweli Michu. Mimi mwenyewe natamani sana kuwa na kavakesheni ka aina yake nivae ndala na kutokuwa na haraka ya kuamka asubuhi....hahahaa!!!

    You can write a masterpiece story on the next sunday news magazine. Wengi watakuunga mkono kuhusu raha ya ndala.

    ReplyDelete
  5. aah, Michuzi. Yaani hapa umenifikisha. Mie siongelei kandambili wala nini. Yaani hapo ulipopiga hiyo picha najua ni wapi, maana kwetu ni pembeni kwa kushoto kidogo. Thanks for taking me home.lol.

    ReplyDelete
  6. HI ISSA HABARI ZA SHUHULI PICHA INAJIELEZA LUGHA IMEELEWEKA..NAONA ENZI HIZO ULIKUWA UKIMSUBIRI..HALAFU KANDAMBILI KAMAULIVYOELEZEA.."..RAHISI KUZIVUA.."

    ReplyDelete
  7. MAALIM ISSA UNAJUA UNAPOCHOMOKA NYUMBANI GIA NZURI VAA MALAPA UTAJULIKANA KWAMBA UMEENDA DUKANI MARAMOJA KUNUNUA TOPAZ."..KUMBE KISEBUSEBU NA KIROHO PAPO.."

    ReplyDelete
  8. kanda mbili na hizo kokoto barabarani angalie usije ukatoa ukucha.we fala unayesema michuzi apumzike we ndiyo wa kwanza kupitia hii blog kila siku,kwani umesikia michuzi hajui kama kachoka au hajachoka, nenda kanye uongee point pusi wewe.

    ReplyDelete
  9. Kenge huyo huyo pale juu anayesema Michu akapumzike, amakweli huwezipendwa na watu wote,he must be a dammn shit, kanichefua kabisa!!! Mshamba mkubwa we! paka shhume, How fuckin one can be, you surface pit I hope you fuckin this msg will find u in a deep shit!
    jamani Michu akupeni nii Wabongo ili mu-appreciate! He keep on informing you for free still you hate him!

    ReplyDelete
  10. Sawa kaka kila mtu anazo ndala au unabisha? Kama unabisha kila mtu anazo.

    ReplyDelete
  11. Michuzi ukivaa kandambili unakuwa ka teja mpiga debe!

    Mwenge Mia mbili u nusu....

    ReplyDelete
  12. Bibi mdogo naya atakaa hap au hapo ndio kwake...unapenda hizo garden za aina hiyo kule kwingine mdongo sio wa mchanga hivyo...

    hayo malapa poa lakini hiyo rangi ...mhhhh...

    ReplyDelete
  13. Michuzi Yaani Hapo Unaonekana Ulikua Unasubiria Kichenchedo chako, Halafu Ukiwa Unawasiwasi kama Utafumaniwa!

    Izz Wa

    ReplyDelete
  14. IDDI AMIN DADA ALIWAKOMESHA WAGANDA ENZI ZA UTAWALA WAKE UKIKUTWA NA KANDAMBILI NJE YA NYUMBA YAKO KAMA WEWE MICHUZI UNAZITAFUNA UMEZE HADI ZIISHE. NDO MAANA HADI SASA UGANDA HATA MASIKINI ANAVAA VIATU HUWEZI MKUTA MASIKINI NA KANDAMBILI MJINI. SASA NAONA HIYO SHERIA TUIWEKA HAPA - KANDAMBILI NI KWA SHUGHULI ZA MSALANI TU. USINIAIBISHE

    ReplyDelete
  15. ISSA UNASIFA ZOTE ZA KUPAKUA UNAMALAPA, UMEKWENDA WINGA (MKONO UKO MFUKONI) UNAANGAZA HUKO NA HUKU, UMESIMAMA KARIBU NA UKUTA.

    ReplyDelete
  16. Bro Michuzi naomba kujua bei za hivi vitambaa vya wamasai yaani vinapendeza mtu ukivijulia!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...