konvoi la magari ya shirika la umoja wa mataifa la wakimbizi na ya serikali yakikata mbuga kuelekea mipakani kuwarudisha kwao wakimbizi wa kongo na burundi ambao wanarejeshwa kwao kwa hiyari

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. hapo ni kibondo, hali ya hewa inavutia sana ingawa wakati fulani kuna vumbi je kundu kama kibondo,
    yaani hakuna mfano wake

    ReplyDelete
  2. ni ngumu sana kuzuia mipaka hao wote watarudi tu

    ReplyDelete
  3. Wanarudi kusalimia tu, bila nauli, wana nauli ya kurudi hao

    ReplyDelete
  4. Haa haaa nimefanya sana hii kazi kabla sijaja ughaibuni. Hapo ni barabara inayokwenda Kigoma kutokea Kasulu siyo Kibondo. (Katikati ya kasulu na kogoma na ni karibia na kuingia Kigoma mjini)

    Mzee wa TBS

    ReplyDelete
  5. hivi watu hao wakichagua kuishi tanzania (kwa sababu za ki-amani na "stability") Ni kweli serikali inayo sababu ya kuwarudisha huko kwao walikokimbia? Kwanini wasiachiwe waishi tuu Tanzania kama wanavyoishi watanzania wengine?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...