Home
Unlabelled
lazi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
UMEONA NYOMI HILO MWANANGU? SIYO MTU CHENGA KWA JUMA NATURE, OOOH NYOMI. HILO NDIYO NYOMI MICHUZI MWANANGU KAMA SIMBA NA YANGA. TENA ZAIDI YA NYOMI LA SIMBA NA YANGA.
ReplyDeleteDuh...cheki baunsa linavyoshangaa kifaa hicho...sasa sijui analinda nini?!
ReplyDeleteBro michu hao jamaa zangu wakulima wamekaa utasema wanasikiliza hotuba ya kamurangi!inaboa sana.nadhani wanahitaji elimu ya namna ambavyo unatakiwa kuwa ukihudhuria sebene kama hilo!Au kwasababu ni uwanjani basi walifikiri bado ni pambano la Wakatamiwa na watoto wa manji?wape hii bro Michu
ReplyDeletebro Michu hao jamaa wamekaa utasema wanasikiliza hotuba ya kamurangi!wanatakiwa wapate elimu ya namna ya kufanya ukihudhuria Sebene!Duu...!tena la Koffi kuna nini tena?Au kwakuwa ni uwanjani wanadhani bado wanasubiri pambano la wakata miwa na watoto wa manji?waambie hao wasukuma waamuke wacheze sebene,si unajua sebene ndio lenyewe si uncheki mgongo ule kwa akina juma nature utauona?
ReplyDeleteHalafu michuzi tupatie picha za mapokezi ya zitto na picha za maandamano!na kama vipi naomba watanzania waandamane tena mpaka bunge litoe tamko la kumrudiasha Bro.Zitto bungeni.
kaka michuzi habari zako! bwana mimi sifagilii kabisa ushabiki wa utamaduni wa nje ijapokuwa kitu kimoja tuu naweza kusema ninachokiona ni tofauti na mziki wa nyumbani kwetu wa kitanzania ni nidhamu ya kujituma hasa kwenye choreography(spc uchezaji wa wanamuziki au wacheza shoo)
ReplyDeletekwa maoni yangu tanzania hatuana na kama tunayo basi ni ya kibabaishaji utaona watu wanacheza huku wakiangaliana kwa kuibia ili wasikosee pia hata sura tuu ukizingalia hazionyeshi kwmba wanainjoi
hivyo kitu pekee cha kuiga kwa wanamuziki kama hawa wanaokuja hapa nyumbani ni nidhamu au professionalism ya onyesho hai
lakini kama ni kipaji tunavyo na uwezo wa kupiga mziki wa kwetuy wa kitanzania tunao ijapokuwa ukweli ni kwamaba watanzania wengi hasa bendi zetu hawapigi mziki wa kwetu hawaweki resource kwenye kuuendeleza woote wanajarinu kuwa kama wenge muzika,wanjaribu kusound kama kofi olomide ,kama wacongo kwa kifupi mbaya zaidi kwenye uchezaji kila mtu anajaribu kuiga ukongo na sisi washabiki tumekaa mstari wa mbele kuwasifia eti wanafanya kazi kweli ooh,eti bab kubwa inapokuja hili ndio maana nawapa heko watanzania wenzangu kama vile mlimani,msondo,che mundugwao,saida karoli nk
jamani eeh.hivi ni lini sisi watanzania tutashabikia muziki wenye identity yetu ? yaani sio muziki wa kuiga vionjo na sound za miziki ya nje
hivi ni kweli kwa kuiga vionjo na tyuni za tamaduni za wenzetu tunautangaza utanzania wetu? au ni kweli tutakuja kubalika ktk ramani ya muziki wa kimataifa kama huyo defao?
OMBI; kaka michuzi kwa kutumia taaluma yako ya uandishi naomba kama inawezekana na resources zinakuruhusu umuuliza huyo mtamaduni wa congo olomide kama anaufahamu muziki wa tanzania na umuulize ana maoni gani kama anaufahamu
pia ulkiza ulisikia wapi hapa tanzania tuu au kwenye soko la kimataifa popote pale ,anaujuaje kama huo ndio mziki wetu?
je anampango wowote wa kuinkoporeti vionjo vya muziki wa kitanzania (kama tunao) ktk miziki yake ,je huko congo na kwengine watu wanutambua muziki wa tanzania ? na kama yes ni upi (ni huu wa kuiga bongo flava au ule wa tilili -mlimani ,msondo ,vijana ,che,saida karoli nk)
hebu angalia hii list hapa chni
ANDRE BOCCHELI,EROS RAMASOTI,MAFIKIZOLO,HUGH MASEKELA,BRENDA FASI,ISMAIL LO,BABA MAAL,ANGELIQUE KIDJO,FEMI KUTI,BUENOVISTA SOCIALE CLUB,ANU MALIK,ALI FATEH KHAN,LATA MANGESHKAR,OLIVER MTUKUDZI.BOB MARLEY,LUCCIANO,YELLOW MAN,SHABA RANKS,kofi olomide,WENGE BCBG,AWILO LONGOMBA ,TP OK JAZZ NK
Hawa wanamuziki ni random sampling tuu ya wanamuziki wa nchi mbalimbali amabao walipata kuwa mashuhuri na waliendeleza muziki wenye vionjo vya nchi zao na walifanikiwa sana na ulimwengu uliwaheshimu sana na kununua mziki wao .nchi zao zilanza fahamika sana duniani
na sijawahi kusikia hata mmoja wa hao nilowataja wakikopi vionjo kutoka mziki wa tanzania (kama tunao)
JAMANI TUSHABIKIE VYA NYUMBANI TENA VILE VYENYE VIONJO NATURALLY HOME CREATION TUACHE MAMBO YA KUIGA ,
HONGERA CHE MUNDUGWAO .SAIDA KAROLI,MSONDO,MLIMANI NK
Watanzania kwa unafiki tumeshinda medali ya dhahabu.Wacheza shoo wanavaa vichupi na hata viongozi wanashangilia.Ikija kwenye Miss Tanzania wakivaa vichupi (Bikini) utasikia ohh wanaharibu utamaduni wetu.Kwanini hatuwi na msimamo kama tunapiga marufuku vichupi tupige vyote na kama tunaruhusu turuhusu vyote.Mnasemaje wadau??????
ReplyDeleteNaona hata bouncer pale chini kulia nae kapoteza mwelekeo, jamaa ametumwa kwenda kucheki usalama wa washabiki naona maji yakamzidi kimo.
ReplyDeleteLaiti kama tungekuwa tunafatilia na kusikiliza kwa makini mambo ya msingi zaidi nchi ingekuwa mbali sana. Tatizo tumetekwa na MAHEWA!
PWAPWISO HILO HUYU BINTI KAMA HANYI BAHATI.
ReplyDeletejamani dada wa watu yupo kazini kama nyie wengine mnavyobeba ma boxi ya wazungu.
ReplyDelete