Home
Unlabelled
mama sigera
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kaka Michuzi,
ReplyDeleteKatika mambo yoooote, yaani Mungu akubariki Sana maana umenisaidia si kawaida ila wewe mwenyewe hujui umenisaidiaje.
Sasa basi mimi naishi "ughaibuni", ila ninarudi Dar es Salaam mwaka kesho kabla mwezi wa tatu kuja kufanya sherehe ya harusi yangu, (nimesha olewa tayari).
Tatizo mimi napenda sana keki na sijui ni wakina nani wanapika keki nzuri, nimeambiwa Monica Makundi, Vayle Springs, Flying Chef wako opposite Tambaza. Sasa na leo umeniletea wengine wawili kwenye Blog yako, ndio UMENICHANGANYA KABISAAA!!.
Sasa naogopa "uzuri wa mua nje, ndani ukakasi". Maana hizo picha zinavutia kwa nje na sasa je! keki ina ladha nzuri ndani? japo nitasema ninataka flavour gani. maana huku si unajua wazungu wanavyojua kupika hizo keki.(Na nikishindwa kabisa itabidi nije nayo kutoka huku haina tatizo).
Ila Endelea na matukio kama hayo. Maana kwenye upande wa upambaji, nimeshapata wapambaji wawili mashuhuru ambao wataungana na kutoa kitu kimoja.
Mrs. Wilkins
KHERI YAO WAPATAO WAUME NA WAKE MAANA UFALME WA BINGU NA DUNIA NI WAO KILA KHERI MAMA WILKINS
ReplyDeleteni mimi
nungaembe mkufunzi
Hivi kaka michuzi yule mdogo wako ameoa kweli?ahaa usinifikirie vibaya bwana nauliza tu jamaniii,je ajaongea kama anatafuta mchumba vile
ReplyDeleteMrs. Wilkins, Hongera kwa kuolewa Ugahibuni.
ReplyDeleteNinachotaka kukuambia ni hivi, usiwanyime hiyo pesa wajasirimali wa Tanzania yahani kanunue Keki yako Tanzania, kwani wanatengeneza nzuri sana, kama unawasiwasi huyo mtu utakaye mpata kwaaajili ya kukutengenezea hiyo keki , mlipe nusu , kwa makubaliano kuwa ikitoka mbaya haumalizii pesa yote.
Ila keki zipo nzuri sana , hapo Tambaza uliposema keki zao ni nzuri sana , ila kwa sisi kima cha chini tunaona bei ni kubwa .
Usiangaike kubeba keki toka huko Mamaa.
Nakutakia maandalizi mema.
wewe eti- MrS WilkinsNino si jui, acha mbwe mbwe au unataka kusema kumeolewa na Mzungu, mzungu Mwenyewe Mzee, tena wamakaratasi.Acha kusagia watu wanatafuta ridhiki. Wazungu wote wanasifia mapishi ya Watanzania, Watalii wanapo kuja huku ulisha sikia wanabeba vyajkula vyao kwenye Mabegi? kwenda huko na huyo mzungu wako.Eti wazungu wanazijua keki kumshinda nani. Acha hiyo usitusumbue na huyo Mzungu MZee. Crinton kaja hapa na bado kala Lunch ya mchana Pugu Kajiungeni na wewe una leta hapa eti Mzungu ngongingo hali keki mbaya, we koma kabisa na ushidwe na Mzungu wako mzee.
ReplyDeleteHongera Mrs. Wilkis kwa kuolewa wengine tunasikia tu suala la kuolewa. Mlio huko ughaibuni umri kati ya miaka 40 - na kuendelea sio mliowapa talaka wake zenu, ila kama unamtoto wa ujanani poa. Bongo kuna akina dada tumetulia basi tu ngekewa inapita mbali. ila kupitia Michuzi yaweza kuwa bahati nzuri kabisaa
ReplyDeleteMichuzi ndugu yangu....wewe unataka watu wakulilie kwa lugha gani ili uweze kutufanyia utaratibu wa kutukutanisha kwa kutumia blog yako ndugu yangu....kama pesa ya registration tutatoa...ila TUNAOMBA UFANYE UTARATIBU WA KUKUTANISHA WATU WA JINSIA TOFAUTI ILI WAANZISHE MAHUSIANO!!!!jamani tutajuana vipi...hii blog lazima iongezwe value ati!!!
ReplyDeletewith due respect kwa mama na dada zangu,hebu niambieni hivi kwa nini wanawake huwa mnapenda sana kuolewa?mbona mi naona ka ni karaha tu?
ReplyDeleteWe sijui Mrs Wilkins ama vyovyote utavyojiita huna mpango wala nini. Mi nakuona kama mshamba flani tu na mapepe. sasa unamtangazia nani, mambo yenyewe sio kweli! Wenye navyo huwa hawaongei bibie, wanakaa kimya watu tunaona na kustaajabu, lakini wachongaji kama wewe mh, I doubt.
ReplyDeleteAnyway, gangamara Mama, finally umepata zee lako la makaratasi, hahahahaha. Pole we.
karibu Tanzania, tukutengenezee keki, ila tafadhali, waume zetu usiwaguse kwani nina hakika kabisa Zee lako halikufikishi, so puliiiziiiiiiiiii.
Acha ulimbukeni sawa misezi Wilikinzi! hata kama hukutegemea, take it easy!
hata mimi kwa kweli amenikera huyu mama sijui dada a.k.a mrs wilkins anajua mwenyewe... ukweli unaboa sasa km umeolewa na mzungu na uko ugaibuni huku unafuata nini?? kwani kuolewa na mzungu umeona ndio dili saaana?? kafie mbali na mzungu wako HOVYO KABISA, tuachie wabongo keki zetu tutakula wenyewe ALA..... mfyuuuuuuuuuuu......!!!!!kwenda huko
ReplyDeleteEti Mrs Wilknonino! koma weee! sisi tumekaa ughaibuni sijawahi kuona hata siku moja mke wa mzungu ana-sign ati Mrs -somebody! acha kujipendekeza kwa huyo mzungu. Eti wadau wa ughaibuni kweli nyie mumeshaona watasha wana saini eti Mrs Wilknonino kama huyo juha, wazungu wote ukimuliza jina lake ana sema I'm Jane, Suzzy, Mandy hakuna cha Mrs wilknonino. Koma we, na ngoja aje akuacha, si una jua tena wanavyo achaga wazungu, nafuu sisi wabongo huwa tuna gombana na kama kasababu, lakini Mzungu anaamuka na kukuambia 'Iam bored it is not working i don't feel any more', ndiyo divorce hiyo. Haya na wewe umejitangazia Mrs Nonino. Koma we.
ReplyDeleteHUYO MRS WILKNS ANA BAHATI SANA BADO NIMO KATIKA ADHABU YA KUTUKANA KATIKA BLOG YA MICHUZI ASINGE FIKA MBALI.
ReplyDeletejamani watu mnanishangaza humu!majungu tu na roho kama za korosho zimepinda! hamfurahi kuona mtu anafanikiwa.miwivu imewajaa watu sasa kama dada wa watu kaamua kujiita mrs wilkins si yeye sasa wivu mbona unawasumbua acheni hizo u should be happy na kama kaolewa na mzungu si kapenda mwenyewe kama nyinyi hamjapata ridhiki kutoka kwa Mungu mtajiju.so pls akitaka kubeba keki kutoka ughaibuni its her choice pls guys u have to come down!dont just jump b4 the bullet is realised! watu tayari wanampa warnings za kutowagusa waume zao. yani u guys are hilarious!peace and love ya peeps
ReplyDeleteNaomba contact za huyu mama pls.
ReplyDeleteHeheheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!! kwa kweli hata mimi aliniboa, nilihifadhi tu mdomo wangu ili nione kama mtazamo wangu uko tofauti na wadau. Yaani oooh...aeiou...nimeolewa ughaibuni. Mmmm...!!! hako kababu, sasa wenzio wametumia wamechoka wewe unabeba, nyie ndo mnafiwa vifuani, shauri yako utapelekwa mahakamani. Keki,keki, kuna keki huko ulaya...michu kakuwekea keki unamuona kama hafai, wewe unafikiri yeye anatangaza maboga hapo. muone kwanza, hivi kweli hujatotoka mume wewe maana I doubt. kaaaaaaaaaazi kwelikweli.
ReplyDeleteNenda zako..nfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
Wadau,
ReplyDeletenafurahia, oh hapana....., Nasikitika kuwaambia kwamba dada yetu wa ughaibuni, misezi wilikinzi ndio hivyo ndoa imevunjika kabla ya sherehe aliyokuwa akiota ya bongo.
Lile Zee lake, limista wilikinzi limepelekwa kwenye zile nyumba za kulea wazee, lilikuwa zee sana kwa kweli hivyo serikali imebidi ilichukue kwa nguvu nguvu na dada yetu duh!
Kitu komoja ni kwamba, ameshapata makaratasi. Mi chuzi sitisha zoezi la kumuandaa dada wa keki.mwisho wa misezi wilikinzi umefika kabla hata ya mwanzo. Nasikia kwa sasa kapata Zee lingine (yeye wa mazee tu), ila noma yake hilo zee lenyewe linataka kuja kuishi bongo, linaogopa yasilikute kama yaliyomkuta mista wilikinzi, dada yetu kachanganyikiwa sasa.
Uuuwiiiiiii!
hivi huypo mrs wilikizi ni kweli .Mimi nilizania ni danganya toto tu
ReplyDeletemh! kama ni mtu kweli basi anamashamushamu. kama ni keki nitakuja nayo hainatatizo. Yaani bongo wanakula pumba ...be real ....Michuzi ni wedding consultant wako?
kama jinga vile....idiot....masikini akipata...mbona wenzako wanafanuya kimya kimya....
Naomba samahani kwa niaba ya mke wangu.
ReplyDeleteMimi ni Wilkins nina miaka 43 na ni mweusi bila hata chembe ya weupe-hili ni jina kama mtu akiitwa John au Smith. Huu uzungu na uzee mnaonipaka umetoka wapi?Naomba mjadala wa kunihusu mimi uishe na muendelee na keki zenu.
Asanteni.