Home
Unlabelled
mastaa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mastaa!!! Mbona hawajajua kuvaa na kujipodoa bado? Na hawako photogenic kwa kweli!
ReplyDeletewanume kama mabinti,,si mchezo,,,
ReplyDeleteKaka Michu, hebu tumwagie majina ya hawa mastaa tafhadhali wengine watuwajuagi
ReplyDeleteDU hatari sasa osama angepiga mambo taifa lingekula hasala lakini na amini usalama ulikuwa wa hali ya juu due to our celeberity in the house bongo bwana nafurahii sana
ReplyDeletehallow bro Michu
ReplyDeletenapenda kukupongeza kwa kurudi tena kuendeleza libeneke....!cha kustaajabisha bro michu ni hii tabia ya huyu kijana G, HABASH na hii tabia yake ya kupenda mademu kwani mimi nilifikiri atakuwa ameacha baada ya kuoa huyo mrembo lakini wapi...! hebu angalia hii picha yupo mbali na mkewe anapata joto la mademu wengine....
bro michu hii ni tabia yake tokea POPATLAL SEC SCHOOL Tanga kulee kunanii kama anbisha akanushe....!nitakutumia picha zake za shule umuone....!
BIG UP G habash....endeleza fani yako naamini siku moja uatakuwa ni mmiliki wa radio hapa TZ tena yenye mafanikio
NI mimi Kocha wa ko wa B'ball[PSS] Kunani.
Kama ndo mastar wenyewe wa bongo ndo hawa basi bora hata msilitumie neno star. Mijitu imechoka na kama nini wewe ndo unaita mastar??? usiniangushe bro umetembea nchi za watu umeona mastar walivyo hivyo hawa wachovu huwezi kuwaita mastar.
ReplyDeleteKuna mastar Bongo na nahakika unawafahamu ajabu hutoi picha zao au kuwatangaza kama wao ndo mastar.
duh hivi kuna watu kama fide naye ni star!?hahahahahah choka mbaya kawa jimama tena guberi na wewe nargis ndio nini kujichubua?ndio nini kitambi?ovyoooooooooooofide too much make-up hivi najishughulisha na nini siku hizi?toka umeanza mpaka leo umevuna nini.angalieni future.kwa nia njema.
ReplyDeletekudadadeki!mastaa bongo?
ReplyDeleteHaya bwana michu mastar hao, maana bongo kila mtu ni star, Star bongo jamani, mi naona kama kigenge cha watu flani hivi wamejikusanya kupata photo, mimi hapo namjua huyo muimba Kwaya Judith na flaviana kwa kuanguka siku ya kampeni ya kupima VVU. wengine wote hapo bila.
ReplyDeleteuyo wa tatau mbona uso wake uko ivyo kama amelipukiwa na bomu,kwi kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
ReplyDeleteNYIE AKINA DADA MSIJALI MMEPENDEZA SANA TU NA MNA VITABI MAMBO YA AFYA SIO...NA KAMA VITAMBI SI VYENU BWANA MNAWASIWASI GANI..NYOOO
ReplyDeletebro michu!hii picture ni bora ugeitoa kwani hao mastaa wamechoka saaaana,yani utazani wale kina mama wanao fagia jiji bongo??choka mbaaaaya sana!!yani hata mavazi tu yanakuwa tabu?ustaa si mchezo jamani,igekuwa ni rahisi basi hata wauza vitumbua pia wagekuwa mastaa
ReplyDelete(dirty cash-SEOUL)
kwa kwa kwa kwa kwa kwaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Jamani mbavu zangu mie na hao mastaa!! Au michu kamera yako ndo imewatoa hivyo??? hehehehe !! mbona wako na sura mbaya hivyo??? choka mbaya babake!! hehehe kudadadeki!!! jamani fide ushakuwa mtu mzima badilika sasa loh! hizo make-ups jamani!! kama umelipuliwa na bomu!! hehehe uuwwiiii hii kali jamani! vitambiziiiiii!! Nargis kitambizzzzzzzzzzzz hehehehe!!!
ReplyDeleteBr Michuzi angalia usiharibu kazi yako kwa kuita wachovu mastar. Ustar si mchezo kaka. Hawa wachovu ni machokoraa tu kwanza pamba zenyewe mbovu na sura kama walevi wa pombe za kienyeji. Hovyoooooooooo!!!!!!!
ReplyDeleteMastaa? wako wapi? hao waliojijaza makeup wakaonekana kama tomato ziliwamwagikia. Na huyo mtaalamu wa siku hazigandi inabidi atafute makeup artist mpya, kwa sabau wa sasa hafai.
ReplyDeletemi binafsi nimeshukuru kupata picha ya pamoja kwa namna hii ulivyoipata,huku kwetu wote hawa kila mmoja wao hawa ni habari na nimependa ulivyoikusanya pamoja ,picha ibaki humuhumu usiitoe wala kuihariri,hawa ni mastaa wetu na huo ndio ukweli mtupu, nakutakia mema mengi tu bw.michone katika kazi zako na pia likizo njema huko ukweni.
ReplyDeletemji kosoro bahari morogoro
Huyo mdada wa kwanza ana kikwapa mpaka kimetokea kwenye shati, jamani Michuzi waambie kuna deodrant.
ReplyDeleteKuDaDeKi!! Jide Umemechisha Rangi Yako Ya Mdomo Na Kiatu Chako Cha Fisadi Kiwembe!! Hehehe.
ReplyDeleteIzz Wa
ebu wacheni majungu wabongo nyie hivi hivi mnafananishaje mastaa wahuku na bongo kwendeni zenu msiwasumbue wenzenu mko bongo wote
ReplyDeletelizzie
come on guys u gotta appreciate your people and stop slugging them off so all you haters u have to zip it up so shut up all you loosers!but then again im just saying
ReplyDelete